Tulionana na specialist akampa dawa za duphaston ili ashike mimba, baada ya kumaliza tu vidonge 10 akaanza period, tukapiga mechi siku za hatari kama dokta alivyotuambia, siku 4 kabla hajaanza period akaona matone mawili,baada ya siku mbili likatoka tone moja, ilipofika tarehe ya kuanza period damu inatoka kama kawaida, je hii maana yake nini? nimrudishe tena hospitali? au tungoje siku za hatari tupige tena mechi?
Back to hospitalTulionana na specialist akampa dawa za duphaston ili ashike mimba, baada ya kumaliza tu vidonge 10 akaanza period, tukapiga mechi siku za hatari kama dokta alivyotuambia, siku 4 kabla hajaanza period akaona matone mawili,baada ya siku mbili likatoka tone moja, ilipofika tarehe ya kuanza period damu inatoka kama kawaida, je hii maana yake nini? nimrudishe tena hospitali? au tungoje siku za hatari tupige tena mechi?
MKUU KWANINI UMEMUANZISHA DAWA, HUKUTAKA KUMPIGA KARAFUU , TANGAWIZI, SOYA, VITUNGUU SWAUMU NA MBEGU ZA MABOGA KWANZA?Tulionana na specialist akampa dawa za duphaston ili ashike mimba, baada ya kumaliza tu vidonge 10 akaanza period, tukapiga mechi siku za hatari kama dokta alivyotuambia, siku 4 kabla hajaanza period akaona matone mawili,baada ya siku mbili likatoka tone moja, ilipofika tarehe ya kuanza period damu inatoka kama kawaida, je hii maana yake nini? nimrudishe tena hospitali? au tungoje siku za hatari tupige tena mechi?
Spotting bleed Inaweza Ikawa Dalili ya Implantation Mkuu.Tulionana na specialist akampa dawa za duphaston ili ashike mimba, baada ya kumaliza tu vidonge 10 akaanza period, tukapiga mechi siku za hatari kama dokta alivyotuambia, siku 4 kabla hajaanza period akaona matone mawili,baada ya siku mbili likatoka tone moja, ilipofika tarehe ya kuanza period damu inatoka kama kawaida, je hii maana yake nini? nimrudishe tena hospitali? au tungoje siku za hatari tupige tena mechi?