Baada ya dhiki faraja!

Baada ya dhiki faraja!

Mkuu nifanyie mpango na me nimesindikiza kulumbembe stand wiki iliyopita akiagizwa anamuangalia maza house juu mpaka chini pandisha shusha na kusonya khaa.
😀😀😀 Pole Sana Mkuu,ukipata kulumbembe ni kama kujiongezea stress Tu na makasiriko!
 
Ni mwaka wa kwanza sio?

Tusubiri muda usogee kwanza,hata huyu utambatiza tu nae na kumwita Kulumbembe.
 
Mlipe mshahara mzuri sasa na yeye afanye maisha. maana na yeye katoka kwao Ngara kuja mjini kutafuta. hii mishahara ya laki moja hapana. Lazima atakimbia.
Bado binti mdogo Pesa peke Yake haitoshi kumuandalia Kesho Yake!
Hakwenda shule kabisa!
Kwa kuanzia Nimemtafutia mwalimu wa kumfundisha kusoma & kuandika, Kama ataendelea vizuri sitamwacha bure!!
 
Back
Top Bottom