Baada ya dhiki faraja!

Baada ya dhiki faraja!

Kwamba yeye cio mwanamke,inatokea kama ajali hakupanga kabisa...
Ajali au sio?
Binti wa kazi ni mmoja wa wanafamilia wa karibu kabisa kama unamtamani kimapenzi it means huwezi shindwa kutamani wanafamilia wengine!
 
Baada ya kuishi na lile kulumbembe kama ndugu na bado likaniletea dharau!
Nilipata Ka binti Ka kihangaza,Leo kanatimiza mwaka toka nianze kuishi nako!
Kabinti kanajitambua,kanachapa kazi,kasikivu ukikaelekeza kanaelewa!
Kabunifu,Kenyewe unakuta kamepika chakula kitamu ukikauliza umejifunza wapi utasikia niliangalia kwenye kipindi cha mapishi!!!
Mungu nilindie haka kabinti special!!!!
Kwahiyo mnasagana au? Sijaelewa!
 
Kuna mtu atatoa kamasi muda si mrefu.
 
Kuna mtu atatoa kamasi muda si mrefu.
Mungu aepushie mbali!!
Kupata Ka binti Ka kazi kakaeleweka walau miaka 2 na kuendelea sio Jambo rahisi watu wanakutana na vitimbwi!
 
Back
Top Bottom