Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Sheria inawaonea bado, 60,000 tuKima cha chini ni tsh.ngapi?
Congrats ur such a unique woman,i wish ningekuwa mr..Ajali au sio?
Binti wa kazi ni mmoja wa wanafamilia wa karibu kabisa kama unamtamani kimapenzi it means huwezi shindwa kutamani wanafamilia wengine!
Mimi sirudi kabisa nikishawaz hizo vurugu apo home😆🤣🤣🤣 Nimejipata Kwa muda mkuu, imagine unatoka kazini umechoka unafika nyumbani unakutana na kivuruge mwingine!
Nilikua na hiyo manzi yenyewe kila kitengo inataka ivae viatu vya mtu husika asa unabaki kushangaa huyu vipi😆😆😆Ni hatari Mkuu, wengine hatupendi kuongea Sana!
Unamanisha huyo binti alikuwa ni house girl ?Mungu aepushie mbali!!
Kupata Ka binti Ka kazi kakaeleweka walau miaka 2 na kuendelea sio Jambo rahisi watu wanakutana na vitimbwi!
Kwasababu ni mjadala wa mahusiano. Mahusiano mazuuuri kati yako na msaidizi wako wa kazi. Hongera sana.