GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Uongozi wa Yanga SC na wana Yanga SC msione Aibu Kutangaza kuwa mnapanga kuachana na Mtukutu Bernard Morrison ili kubaki na Wachezaji 12 Wanaotakiwa.
Na taarifa za ndani kabisa kutoka kwa Wanyetishaji wangu wanasema kuwa hata Kocha Mkuu wenu Nabi hamtaki Morrison japo baadhi ya Viongozi mnataka Kumfyeka Bigirimana au Kisinda ambao Kocha Nabi anawahitaji na bado anawakubali japo sometimes wana ups and and downs za hapa na pale.
Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said nasikia Msemaji wenu Ali Shabaan Kamwe anamalizia Kukuandikia Maelezo ambayo muda mfupi ama Leo au Kesho utaita Press na Kulizugumzia hili.
Na mkimuacha Gael Bigirimana mpeni na Shilingi zake Milioni 700 anazozitaka ili muachane nae kwa Amani na mkimuacha Twisila Kisinda jiandaeni Kununiwa na Kususiwa na Malaika Wenu Takatifu Fiston Mayele ambaye ameshasema hataki kusikia Bandeko Nangai (Mkongo) Mwenzake huyo na Rafiki yake wa karibu tokea Kwao DRC anaachwa ndani ya Kikosi/Klabu ya Yanga.
Mtaficha mambo yenu/taarifa zenu za ndani ila GENTAMYCINE nitazipata tena haraka hata kuliko wana Yanga SC lia lia kama akina Frank Wanjiru wa hapa JamiiForums.
Nakumbuka mwaka jana tena hapa hapa JamiiForums Mimi GENTAMYCINE niliwaonyeni kuhusu Kumsajili Mtukutu Bernard Morrison na kuwaambieni kuwa hamtomuweza kwani kama ameshindikana katika Klabu ya Wasomi, Werevu na Wastaarabu ya Simba nyie huko Kwenu mngemuweza?
Haya mpunguzeni Mmoja upesi Ok?