SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Sasa Simba inahusikaje hapa Sheikh?Simba iliweza kuvunja mikataba ya Akpan na Okwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa Simba inahusikaje hapa Sheikh?Simba iliweza kuvunja mikataba ya Akpan na Okwa?
Kuna usemi unaosema nyani haoni..... Ingekuwa kuvunja mikataba ni jambo jepesi timu yako ina mizigo kibao ila wameona bora ni kheri kuwaomba wapelekwe kwa mkopoSasa Simba inahusikaje hapa Sheikh?
Feisal yupo poa kabisa na amesema yupo tayari kutocheza tena mpira lakini siyo kurudi Yanga.Mkuu najua uko karibu na Feisal hebu tuambie hali yake ikojesasa? Baada ya dirisha kufungwa?
Basi sawaFeisal yupo poa kabisa na amesema yupo tayari kutocheza tena mpira lakini siyo kurudi Yanga.
Wamefata taratibu na kanuni za mpiraKuna usemi unaosema nyani haoni..... Ingekuwa kuvunja mikataba ni jambo jepesi timu yako ina mizigo kibao ila wameona bora ni kheri kuwaomba wapelekwe kwa mkopo
Mna bahati hao "mizigo" hawakucheza jana mngeona moto wao.Kuna usemi unaosema nyani haoni..... Ingekuwa kuvunja mikataba ni jambo jepesi timu yako ina mizigo kibao ila wameona bora ni kheri kuwaomba wapelekwe kwa mkopo
Pia kwa hoja yako unataka kusema huyo mchezaji wa SBS ni wao waliotaka kuachana naye au ni Yanga waliokuwa wanamtaka kwanza. Najua unajua nilitaka kusema nini ila kukukumbusha tu huo ndiyo msingi wa hoja yangu. Twende.....Kuna usemi unaosema nyani haoni..... Ingekuwa kuvunja mikataba ni jambo jepesi timu yako ina mizigo kibao ila wameona bora ni kheri kuwaomba wapelekwe kwa mkopo
Ule usajiri wenu bora mngemsajiri Kitenge wa baso Saut au Eto wa SautUongozi wa Yanga SC na wana Yanga SC msione Aibu Kutangaza kuwa mnapanga kuachana na Mtukutu Bernard Morrison ili kubaki na Wachezaji 12 Wanaotakiwa.
Na taarifa za ndani kabisa kutoka kwa Wanyetishaji wangu wanasema kuwa hata Kocha Mkuu wenu Nabi hamtaki Morrison japo baadhi ya Viongozi mnataka Kumfyeka Bigirimana au Kisinda ambao Kocha Nabi anawahitaji na bado anawakubali japo sometimes wana ups and and downs za hapa na pale.
Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said nasikia Msemaji wenu Ali Shabaan Kamwe anamalizia Kukuandikia Maelezo ambayo muda mfupi ama Leo au Kesho utaita Press na Kulizugumzia hili.
Na mkimuacha Gael Bigirimana mpeni na Shilingi zake Milioni 700 anazozitaka ili muachane nae kwa Amani na mkimuacha Twisila Kisinda jiandaeni Kununiwa na Kususiwa na Malaika Wenu Takatifu Fiston Mayele ambaye ameshasema hataki kusikia Bandeko Nangai (Mkongo) Mwenzake huyo na Rafiki yake wa karibu tokea Kwao DRC anaachwa ndani ya Kikosi/Klabu ya Yanga.
Mtaficha mambo yenu/taarifa zenu za ndani ila GENTAMYCINE nitazipata tena haraka hata kuliko wana Yanga SC lia lia kama akina Frank Wanjiru wa hapa JamiiForums.
Nakumbuka mwaka jana tena hapa hapa JamiiForums Mimi GENTAMYCINE niliwaonyeni kuhusu Kumsajili Mtukutu Bernard Morrison na kuwaambieni kuwa hamtomuweza kwani kama ameshindikana katika Klabu ya Wasomi, Werevu na Wastaarabu ya Simba nyie huko Kwenu mngemuweza?
Haya mpunguzeni Mmoja upesi Ok?
Uongozi wa Yanga SC na wana Yanga SC msione Aibu Kutangaza kuwa mnapanga kuachana na Mtukutu Bernard Morrison ili kubaki na Wachezaji 12 Wanaotakiwa.
Na taarifa za ndani kabisa kutoka kwa Wanyetishaji wangu wanasema kuwa hata Kocha Mkuu wenu Nabi hamtaki Morrison japo baadhi ya Viongozi mnataka Kumfyeka Bigirimana au Kisinda ambao Kocha Nabi anawahitaji na bado anawakubali japo sometimes wana ups and and downs za hapa na pale.
Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said nasikia Msemaji wenu Ali Shabaan Kamwe anamalizia Kukuandikia Maelezo ambayo muda mfupi ama Leo au Kesho utaita Press na Kulizugumzia hili.
Na mkimuacha Gael Bigirimana mpeni na Shilingi zake Milioni 700 anazozitaka ili muachane nae kwa Amani na mkimuacha Twisila Kisinda jiandaeni Kununiwa na Kususiwa na Malaika Wenu Takatifu Fiston Mayele ambaye ameshasema hataki kusikia Bandeko Nangai (Mkongo) Mwenzake huyo na Rafiki yake wa karibu tokea Kwao DRC anaachwa ndani ya Kikosi/Klabu ya Yanga.
Mtaficha mambo yenu/taarifa zenu za ndani ila GENTAMYCINE nitazipata tena haraka hata kuliko wana Yanga SC lia lia kama akina Frank Wanjiru wa hapa JamiiForums.
Nakumbuka mwaka jana tena hapa hapa JamiiForums Mimi GENTAMYCINE niliwaonyeni kuhusu Kumsajili Mtukutu Bernard Morrison na kuwaambieni kuwa hamtomuweza kwani kama ameshindikana katika Klabu ya Wasomi, Werevu na Wastaarabu ya Simba nyie huko Kwenu mngemuweza?
Haya mpunguzeni Mmoja upesi Ok?
Wachezaji wapo 12 tuNinavyo fahamu Mimi Caf wameruhusu timu kusajili wachezaji 40 katika mashindano yote haijalishi ni mchezaji wa ndani au wakigeni, Tff wao wanahitaji wachezaji 12 wakigeni na Yanga Wana 13.
Nilicho sikia Gael Bigilimana wanampango wa kumuondoa katika wachezaji wa Ligi ya ndani na atacheza kwenye mashindano ya kimataifa tu.
Wengine 12 wa kigeni watacheza mashindano ya Caf na ligi kuu. Kinachobaki ni makubaliano baina ya Yanga na Bigilimana kuhusu jambo ilo.
Walivyokuwa timu ya Simba walionesha maajabu dhidi ya Yanga mpaka useme bahati yenu? Simba inaingia kwasababu wewe ni mshabiki wa Simba unahoji habari za Yanga kushindwa kuvunja mkataba kana kwamba nyie labda mmeweza kuvunja mikataba.Mna bahati hao "mizigo" hawakucheza jana mngeona moto wao.
Bado sijaelewa mantiki ya kuiingiza Simba kwenye mjadala. Hivi si ni nyie msemaji wenu anahoji usajili wa Beleke? Kashupaza kabisa hadi kasahau majukumu yake.
Walivyokuwa timu ya Simba walionesha maajabu dhidi ya Yanga mpaka useme bahati yenu? Simba inaingia kwasababu wewe ni mshabiki wa Simba unahoji habari za Yanga kushindwa kuvunja mkataba kana kwamba nyie labda mmeweza kuvunja mikataba.
Msemaji wa Yanga mmesikia wapi akizungumzia swala la Baleke? Kama ni post ya mtandaoni basi jiridhishe kwanza na account ya aliyetoa post kama ni muhusika.
Ameagwa lini kama kina yacuba?Yani Angekuwa Mtu mwenye UFAHAMU timamu.
Angeweka hapa Hiyo Orodha ya hao wachezeja
Sema kwasababu ni mbabaishaji tunaishinae tu.....
Kwa msaada na kusaidia
KAMBOLE SI MCHEZAJI WA YANGA.
FULL STOP.