Baada ya Dirisha kufungwa wageni Yanga SC wako 13 badala ya 12 tu wanaotakiwa Kisheria

Mkuu najua uko karibu na Feisal hebu tuambie hali yake ikojesasa? Baada ya dirisha kufungwa?
 
Kambole alikubali kuwa sehemu ya uongo wa yanga kuwa ametolewa kwa mkopo huko Uganda, hivyo Tff hawamtambui na hayupo kwenye orodha ya wachezaji wa yanga....
 
Sasa Simba inahusikaje hapa Sheikh?
Kuna usemi unaosema nyani haoni..... Ingekuwa kuvunja mikataba ni jambo jepesi timu yako ina mizigo kibao ila wameona bora ni kheri kuwaomba wapelekwe kwa mkopo
 
Jana wamecheza 7 waliobaki Bangala, Morison, aucho, bigirmana, Aziz k na Doumbia watano naona kunanukia timu kupelekwa fifa
 
Kuna usemi unaosema nyani haoni..... Ingekuwa kuvunja mikataba ni jambo jepesi timu yako ina mizigo kibao ila wameona bora ni kheri kuwaomba wapelekwe kwa mkopo
Mna bahati hao "mizigo" hawakucheza jana mngeona moto wao.

Bado sijaelewa mantiki ya kuiingiza Simba kwenye mjadala. Hivi si ni nyie msemaji wenu anahoji usajili wa Beleke? Kashupaza kabisa hadi kasahau majukumu yake.
 
Kuna usemi unaosema nyani haoni..... Ingekuwa kuvunja mikataba ni jambo jepesi timu yako ina mizigo kibao ila wameona bora ni kheri kuwaomba wapelekwe kwa mkopo
Pia kwa hoja yako unataka kusema huyo mchezaji wa SBS ni wao waliotaka kuachana naye au ni Yanga waliokuwa wanamtaka kwanza. Najua unajua nilitaka kusema nini ila kukukumbusha tu huo ndiyo msingi wa hoja yangu. Twende.....
 
Ule usajiri wenu bora mngemsajiri Kitenge wa baso Saut au Eto wa Saut
 
Uhalisia ni kuwa Bigirimana ndio atakatwa jina ktk mashindano ya NBC na jina lake litakuwa ktk mashindano ya Caf
 
Shida ya priduct za SAUT ndio hii.... Umbea umbea kama watoto wa kike
 
Wachezaji wapo 12 tu
Kambole usimuhesabu...
 
Mna bahati hao "mizigo" hawakucheza jana mngeona moto wao.

Bado sijaelewa mantiki ya kuiingiza Simba kwenye mjadala. Hivi si ni nyie msemaji wenu anahoji usajili wa Beleke? Kashupaza kabisa hadi kasahau majukumu yake.
Walivyokuwa timu ya Simba walionesha maajabu dhidi ya Yanga mpaka useme bahati yenu? Simba inaingia kwasababu wewe ni mshabiki wa Simba unahoji habari za Yanga kushindwa kuvunja mkataba kana kwamba nyie labda mmeweza kuvunja mikataba.
Msemaji wa Yanga mmesikia wapi akizungumzia swala la Baleke? Kama ni post ya mtandaoni basi jiridhishe kwanza na account ya aliyetoa post kama ni muhusika.
 
Binafsi sijawaona wachezaji hao vya kutosha kuweza kusema ni mizigo ingawa nachelea kusema hawawezi kuwa "mizigo". Pia pitia tweet hizi halafu uniambie hii siyo account ya msemaji wenu. Mimi sina nafasi yoyote ya uongozi katika timu kwa hiyo hoja zangu kwa sasa hazina uzito katika mijadala ya aina hii.

Yani Angekuwa Mtu mwenye UFAHAMU timamu.
Angeweka hapa Hiyo Orodha ya hao wachezeja
Sema kwasababu ni mbabaishaji tunaishinae tu.....

Kwa msaada na kusaidia
KAMBOLE SI MCHEZAJI WA YANGA.
FULL STOP.
Ameagwa lini kama kina yacuba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…