Uchaguzi 2020 Baada ya Dkt. Kigwangalla kujibizana na Mo Dewji Twitter. Dkt. Bashiru amshukia Kigwangalla, amtaka am-tweet Dkt. Magufuli

Yeah I agree but lets blame the system for that the Individuals are willing to use English but the system of our education couldn't prepare them effectively
Ndicho alichozungumza LISSU tujadiliane kuhusu mfumo wetu wa elimu maana hauleweki kabisa
 
Mimi Sina elimu yeyote ni haki yangu kuchapia,[emoji16][emoji16][emoji16] ila Dr kuandika kingereza kibovu vile ni aibu kwa Taifa na waliomchagua kuwa waziri.
Sasa kama huna elimu yoyote ujasiri wa kukosoa umeupata wapi ? Umeoteshwa nini ?

Nani amekwambia ya kuwa mjinga anatakiwa achapie ? Hivi huoni kama mjinga naye hupenda kuambiwa ana elimu ?

Sasa uache uongo. Lakini nani alikwambia Tabibu lazima ajue Kiingereza ? Ukizingatia ya kuwa Lugha hiyo si lugha yake mama ?
 
Yaani kuanzia kidato cha kwanza Hadi PhD umesoma kwa kimombo Kisha usijue kukiongea?hio ndio tunaita elimu ya kukaririshwa
Siyo kweli, utajuaje kiingereza hali ya kuwa ni Lugha ya kufundishia tu ?

Labda nikuulize, wewe ulizaliwa unajua Kiswahili ? Imekuwaje ukajua Kiswahili ? Sasa huwezi kumlaumi mtu au kumshangaa mtu hajui Kiingereza hali ya kuwa lugha husika si Lugha ya kwanza ya mtu husika.

Pili, kuelewa mambo kuna njia nyingi sana, hasa kuyafanyia kazi mambo hayo. Kwahiyo naweza kuyaelewa mambo hata kama mambo hayo si kwa lugha yangu, na hili liko wazi na mimi ni shuhuda wa hilo. Ulitakiwa ujue Elimu ni nini kisha ujadili hili.
 
Yaani kuanzia kidato cha kwanza Hadi PhD umesoma kwa kimombo Kisha usijue kukiongea?hio ndio tunaita elimu ya kukaririshwa
Hivi ushawahi kusoma masomo ya lugha fulani kama fani ?

Kwenye masomo mengine tunasoma kwa Kiingereza ila yaani matumizi ya lugha hiyo, ila hatusomi kama fani.

Ili uijue lugha fulani lazima uchukue muda mrefu na ukae na watu wanao zungumza lugha hiyo muda wote, ila kinyume na hapo huwezi kuijua lugha hiyo kwa kuiongea.
 
Ndiyo nakubaliana na wewe Mimi siwezi kushangaa mtu kuwa na elimu na asijue kuongea kiingereza VP kama angekuwa bubu je ungemuweka kundi hilo pia?

Kiingereza waweza jifunza mtu yeyote ukitaka tunachohitaji ni taaluma siyo lugha
 
Huu mchezo umemgharimu Hamisi
 
Lakini huu mchezo ulikuwa unaleta watalii pamoja na covid..waliendelea kufurika. Wamemuonea tu jamaa.[emoji3][emoji3]
 
Hivi anaweza kuwa kakosa uwaziri kisa mwamedi? Sidhani, mwamedi nae mjanja mjanja sana inabidi wawepo majasiri kina Kigwangala kumuhoji maswali magumu
 
Kumekuch a tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…