Uchaguzi 2020 Baada ya Dkt. Kigwangalla kujibizana na Mo Dewji Twitter. Dkt. Bashiru amshukia Kigwangalla, amtaka am-tweet Dkt. Magufuli

Uchaguzi 2020 Baada ya Dkt. Kigwangalla kujibizana na Mo Dewji Twitter. Dkt. Bashiru amshukia Kigwangalla, amtaka am-tweet Dkt. Magufuli

Hahahaaaa...... Yale ni mambo binafsi bwashee.

Mfanyabiashara anatoa siri za mteja.....baniani bure kabisa!
Mtu akikupiga nawe piga panapouma, yule hawezi kuwa mteja wake tena. Vita ni vita Mura, vita haina macho. Hasa unaona kabisa sababu za kukushambulia nini, sijui bwana ila sidhani kama wewe unamzidi Dewji kwa kuifamu biashara.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Chama cha kihutu ni kutii amri kwa kwenda mbele ole wako usitii , mwenyekiti mhutu , secretary the same .
 
Lissu anaposema tutafute mfumo Bora wa elimu hatuelewi hoja yake huyu ni dactari.

IMG_20200912_220147.jpg
 
Mbona na wewe umechapia kabla hujanyosha kidole toa boliti kwanza kwenye jicho lako
Mimi Sina elimu yeyote ni haki yangu kuchapia,[emoji16][emoji16][emoji16] ila Dr kuandika kingereza kibovu vile ni aibu kwa Taifa na waliomchagua kuwa waziri.
 
..sekta yetu ya watalii inategemea wamerekani / mabeberu.

..polisi wetu wanafundishwa mbinu za kuzuia ugaida na marekani/mabeberu.

..dawa za ukimwi tunapewa msaada na wamarekani / mabeberu.

..mazoezi ya kijeshi baina ya Jwtz na majeshi ya Afrika Mashariki yanafadhiliwa na wamarekani / mabeberu.

..hivyo basi Magufuli na serikali yake ni vibaraka na mawakala wa Mabeberu.
 
Mimi Sina elimu yeyote ni haki yangu kuchapia,[emoji16][emoji16][emoji16] ila Dr kuandika kingereza kibovu vile ni aibu kwa Taifa na waliomchagua kuwa waziri.
Kama huna elimu umejuaje kingereza kibovu? Acha kuhadaa umma toa boliti machoni mwako kwanza
 
Labda daktari wa vyura. Kwa wizara ya utalii kwa kweli hastaili. Wizara hii inahitaji mtu fluent kwa kiingereza na pia lugha mbili kijerumani na kifaransa japo cha kuchapia.
 
Back
Top Bottom