Uchaguzi 2020 Baada ya Dkt. Kigwangalla kujibizana na Mo Dewji Twitter. Dkt. Bashiru amshukia Kigwangalla, amtaka am-tweet Dkt. Magufuli

Uchaguzi 2020 Baada ya Dkt. Kigwangalla kujibizana na Mo Dewji Twitter. Dkt. Bashiru amshukia Kigwangalla, amtaka am-tweet Dkt. Magufuli

hapana nadhani ni hujaelewa alichokuwa akikimaanisha hapo ndg katibu mkuu wa chama cha mapinduzi, alichokimaanisha ni kwamba badala ya kukesha mitandaoni kufanya mambo kama hayo yasiyo na tija kwa watu wengine na kulingana na mzingira na kipindi tulichopo ni bora wakaishiriki kwenye kutafuta kura kwa ajili yao na wagobea wenzake wa chama kupitia kuwapa taarifa watu kupitia mitandao ya kijamii na wala sio kuinga twitter na kusema naomba kura kwani hata hivo mitandao haipigi kura bali watu wa mahali utokako
 
chorus: tumeibiwa kura
alilolifanya Bashiru leo inaonesha jinsi gani chama mapinduzi kimekomaa kimaadili najinsi wanvyoheshimu madaraka ya kila mmoja wao kwenye uongozi wa chama hicho
mimi ninawapongeza wanachama wa chama hicho wote hasa kwa HK mwenyewe baada ya kutoka hadharani kwenye mtandao wa twitter na kukiri kupokea maelekezo hayo na kuyatii licha ya umaarufu wake
that is great
Safi sana. CCM ni taasisi siyo Kama vile vuama vya wahuni Kama chadema na wengineo
 
Watu wakubwa buana yaani wanaamua kuchojoana nguo hadharani bila kujua wao ni vioo vya Jamii na ma roll model wa watu wengi ...
 
Asante Ndugu Katibu wetu kwa kumkumbusha KIJANA wetu Maana naona Hana kazi za kufanya. Badala ya kupambania ushindi wa chama chetu Analumbana mitandaoni.

Niwito WANGU kwa chama changu cha mapinduzi kufufua chuo cha kivukoni. Ili vijana hawa wapigwe msasa.
 
Mo bhana
alitakiwa aeleze wazi tu mchakato uliotumika.

kigwa ameuliza kama shabiki na sio waziri ila yeye mudi akachomekea mwishoni eti samahani kwa kukukatalia ombi lako la mkopo wa pikipiki.

Na kumbe baada ya kukataliwa mkopo kigwa akapeleka pesa cash kuchukua hizo pikipiki 25. Sasa kigwa angekuwa amemind si angeenda kununua kwingine.

Mwisho ukitaka mwamedi ateme nyongo muulize kuhusu huyo demu au billion 3.
 
Bashiru asimfokee Kigwangala.

Ndiyo maana Chadema wanasisitiza Uhuru, Haki na Maendeleo
KAULI MBIU HII YA UHURU, HAKI NA MAENDELEO NI TAMU SANA. LKN BAHATI MBAYA WANAOISISITIZA WAO HAWAITEKELEZI. CHADEMA HAKUNA UHURU, NI ZIDUMU FIKRA ZA MBOWE. UKITOFAUTIANA NAYE WEWE UNAITWA MSALITI. CHADEMA HAKUNA HAKI YA KUHOJI MAMBO MUHIMU KAMA MATUMIZI YA FEDHA ZA CHAMA. CHADEMA HAKUNA MAENDELEO NDO MAANA HAWAJAJENGA HATA OFISI MOJA TOKA KIANZISHWE CHAMA LICHA YA KUPATA RUZUKI YA ZAIDI SHS MILIONI 330 KILA MWEZI. KWA HIYO WANACHOKISEMA NA WANACHOKIFANYA NI TOFAUTI.
 
Kigwangalla amepita bila kupingwa Sasa. Haya ndiyo chama Cha Bashiru kinayataka

VYAMA VYA UPINZANI VIMESHINDWA KUWEKA WAGOMBEA, SASA YEYE AFANYEJE? WAKIWEKA WAGOMBEA WANAJAZA FOMU HOVYO HOVYO ILI WAENGULIWE NA KUANZA MALALAMIKO. WAGOMBEA WA UPINZANI WAKIPIMA MAJI NA WASHINDANI WAO WA CCM WANAONA MAJI MAREFU HAWAWEZI KUSHINDANA. KINACHOFUATA NI KUHARIBU FOMU MAKSUDI NA KUANZA KULALAMIKIA TUME YA UCHAGUZI KUWA WANAONEWA ILI KULETA KUVUTA ATTENSION ISIYOHITAJIKA.
 
Dr Kigwangalla amesema Katibu mkuu wa CCM ni boss wake hivyo anatii agizo alilopewa la kuacha mara moja kulumbana na Mo Dewji na badala yake ajikite kwenye kampeni za chama.

Tayari Dr Kigwangalla ameanza kupost picha za mikutano ya kampeni za Dr Magufuli katika ukurasa wake wa twitter kama alivyoagizwa na Katibu mkuu.

Maendeleo hayana vyama!

HK.PNG
 
Dr Kigwangalla amesema Katibu mkuu wa CCM ni boss wake hivyo anatii agizo alilopewa la kuacha mara moja kulumbana na Mo Dewji na badala yake ajikite kwenye kampeni za chama.

Tayari Dr Kigwangalla ameanza kupost picha za mikutano ya kampeni za Dr Magufuli katika ukurasa wake wa twitter kama alivyoagizwa na Katibu mkuu.

Maendeleo hayana vyama!
Hayatuhusu
 
Back
Top Bottom