Uchaguzi 2020 Baada ya Dkt. Kigwangalla kujibizana na Mo Dewji Twitter. Dkt. Bashiru amshukia Kigwangalla, amtaka am-tweet Dkt. Magufuli

Uchaguzi 2020 Baada ya Dkt. Kigwangalla kujibizana na Mo Dewji Twitter. Dkt. Bashiru amshukia Kigwangalla, amtaka am-tweet Dkt. Magufuli

kuna siku nyingine katibu mkuu amewahi kutoka hadharani na kukemea bila uovu wowote kutendeka?
kwann useme mamneno hayo wakati alikuwa anatimiza majukumu yake yakulinda nidhamu na image ya chama?
Umeufuatilia mwenyewe huo mjadala kati ya Mo na Kigwangala huko Twitter?

Huo mjadala una uovu gani au Nidhamu ipi anailinda kupitia mjadala ule?

Image ya CCM imeingiaje kwenye ule mjadala?

WanaCCM hawapaswi kuhoji au kutofautiana hata kwa mambo nje ya siasa?
 
hapana
hajaingilia uhuru wa kigwangala hata kidogo, wewe umeona kilichokuwa kinaendelea twitter ya kigwangala ni sahihi kwa image ya kiongozi na icon kama HK?
kiongozi unakujaje kutatulia matatizo yako tena ya ndani kwenye mitandao ya kijmi kisa kucpture attention ya watu tu?
huo ni ushamba kwa jina jingine sio kitu cha kuendekeza
Kabisa
 
CCM wamebananishwa kwenye kona ya kitanda hadi wanapanic sana wakimuona mwenzao anachukulia easy na kuendelea na maisha.
IMG-20200906-WA0100.jpg
IMG-20200906-WA0087.jpg

Linganisha hiz picha 2 alf utajua nan kapanic 👇
 
Umeufuatilia mwenyewe huo mjadala kati ya Mo na Kigwangala huko Twitter?

Huo mjadala una uovu gani au Nidhamu ipi anailinda kupitia mjadala ule?

Image ya CCM imeingiaje kwenye ule mjadala?

WanaCCM hawapaswi kuhoji au kutofautiana hata kwa mambo nje ya siasa?
hapana haipo hivo ndg hapa kwa busara wote Mo na HK wanamakosa, biashara ni makubaliano inakuaje wakati mnafanya biashara mlikuwa peke yenu then ghafla bin puuh mpo twitter kutueleza mabo yenu binafsi?
sio busara kuanika mambo binafsi kwa wasiohusika, unafikiri inaleta picha gani kwa wafanyakazi wdogo wanaotamani kwenda kwa Mo kupata mkopo kama alivyotaka kigwangala kwa mantiki aliyokujanayo HK?
tunaharibu kwingi bila kujua kama tunaharibu

kama kiongozi unapoona kunajmbo linataka kwenda kinyume na utartibu ni lazima uparekebishe
 
Back
Top Bottom