Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
MarhabaaOyeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MarhabaaOyeee
Nyinyi ndio maji ya shingo, ndio mana mnashindwa hata kutype kwa kutetemekaNaona karibu mkuu wa CCM anaomba aongezewe nguvu... Maji ya shingo..
SwadaktaChama Chenye Misingi imara ni chama cha mapinduzi hakika kina simamia misingi ya uadilifu na kufuata utaratibu kwa viongozi wake .
Kigwangala iko siku atahamia upinzaniKatibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamisi Kigwangalla kumzungumzia Mgombea wa Urais wa CCM, Dkt. Magufuli badala ya kuendelea na malumbano yake yanayohusu mpira dhidi ya Mmiliki wa Simba SC, Mohammed Dewji...
KabisaChama kina misingi na miongozo na kila kiongozi lazima haifuate hatuishi kwa mazoea
Command& forceJohn kishafeli
View attachment 1560588
Mtasubiri sana,Kigwangala iko siku atahamia upinzani
Ya kweli hayo?!Kilaza Ni Yule Katibu Mkuu Wa Chama Kileee....Yule Katibu Mkuu anayemeza DAWA ZA MIREMBE na kufungwa KAMBA Majira ya "msimu".
Uchaguzi mbaya, huu ndio muonekano halisi wa Mh.John kishafeli
View attachment 1560588
Usianze kuleta Uto wako hapUkigusa Simba umegusa serikali,Kigwa kagusa Simba ameonywa na Katibu wake wa chama.
hapana usi comment hivo mja kwa moja kwa kuwa mtu mmoja haawezi ku define chama, huyo ni mwanchama tu kama ulivyo wewe na mm kwenye vyama vyetuPlanned ya kuwaondoa watu kwenye reli ccm sio wa kuwaamini
PhD yake haiendani ayafanyayoKigwa hatumii akili
Pomoja na issue za uchaguz lkn maisha ya kawaida lazima yaendelee, mfano mambo ya dini mgombea anawajibu wa kutoa mchango au maoni vile vile kwenye upenzi wa mpira anahaka mtoto wa watu ku enjoy sio muda wote awaze ccm mara ilani!! Aaa no maisha ya kawaida lazima yaendelee.sahihi lakini mpaka anamtarget yeye ni kwa sababu ya kilichikuwa kinaendelea na kama angekuwa too general utekelezaji usingelikuwa instant kama ilivyokuwa inahitajika na pia kumbuka huyo ni mgombea wa ubunge katki ajimbo lake alikuwa tayari ameshasahau majukumu yake kwa kipindi hichi cha uchaguzi ya kunadi ilani na sera za mgombea uraisi wa chama chake na kuengage zaidi kwenye mitandao ya kijamii
kuna siku nyingine katibu mkuu amewahi kutoka hadharani na kukemea bila uovu wowote kutendeka? Kwanini useme mamneno hayo wakati alikuwa anatimiza majukumu yake yakulinda nidhamu na image ya chama?Tunakoelekea Bashiru atawachimba mkwara wagombea hadi kutia wake zao.
Dunia haiwezi kusimama kupisha agenda za uchaguzi tu.
umesema vema sana, lakini unaangalia mazingira gani ya kuseam kitu husika na effect yake kwa watakao kutana nacho. HK tayari ni icon na pia ni mgombea unafikiri hichi kinamadhara gani katika mazingira ya kiuchaguzi in relation to ccm?Pomoja na issue za uchaguz lkn maisha ya kawaida lazima yaendelee, mfano mambo ya dini mgombea anawajibu wa kutoa mchango au maoni vile vile kwenye upenzi wa mpira anahaka mtoto wa watu ku enjoy sio muda wote awaze ccm mara ilani!! Aaa no maisha ya kawaida lazima yaendelee.
Ndugu Bashiru ametekeleza vyema majukumu yake kama mtendaji mkuu wa Chama. Hakika wagombea wanatakiwa kufuata mwongozo huu.Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamisi Kigwangalla kumzungumzia Mgombea wa Urais wa CCM, Dkt. Magufuli badala ya kuendelea na malumbano yake yanayohusu mpira dhidi ya Mmiliki wa Simba SC, Mohammed Dewji..