Uchaguzi 2020 Baada ya Dkt. Kigwangalla kujibizana na Mo Dewji Twitter. Dkt. Bashiru amshukia Kigwangalla, amtaka am-tweet Dkt. Magufuli

Uchaguzi 2020 Baada ya Dkt. Kigwangalla kujibizana na Mo Dewji Twitter. Dkt. Bashiru amshukia Kigwangalla, amtaka am-tweet Dkt. Magufuli

Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamisi Kigwangalla kumzungumzia Mgombea wa Urais wa CCM, Dkt. Magufuli badala ya kuendelea na malumbano yake yanayohusu mpira dhidi ya Mmiliki wa Simba SC, Mohammed Dewji...
Kigwangala iko siku atahamia upinzani
 
Tunakoelekea Bashiru atawachimba mkwara wagombea hadi kutia wake zao.

Dunia haiwezi kusimama kupisha agenda za uchaguzi tu.
 
sahihi lakini mpaka anamtarget yeye ni kwa sababu ya kilichikuwa kinaendelea na kama angekuwa too general utekelezaji usingelikuwa instant kama ilivyokuwa inahitajika na pia kumbuka huyo ni mgombea wa ubunge katki ajimbo lake alikuwa tayari ameshasahau majukumu yake kwa kipindi hichi cha uchaguzi ya kunadi ilani na sera za mgombea uraisi wa chama chake na kuengage zaidi kwenye mitandao ya kijamii
Pomoja na issue za uchaguz lkn maisha ya kawaida lazima yaendelee, mfano mambo ya dini mgombea anawajibu wa kutoa mchango au maoni vile vile kwenye upenzi wa mpira anahaka mtoto wa watu ku enjoy sio muda wote awaze ccm mara ilani!! Aaa no maisha ya kawaida lazima yaendelee.
 
Tunakoelekea Bashiru atawachimba mkwara wagombea hadi kutia wake zao.

Dunia haiwezi kusimama kupisha agenda za uchaguzi tu.
kuna siku nyingine katibu mkuu amewahi kutoka hadharani na kukemea bila uovu wowote kutendeka? Kwanini useme mamneno hayo wakati alikuwa anatimiza majukumu yake yakulinda nidhamu na image ya chama?
 
Pomoja na issue za uchaguz lkn maisha ya kawaida lazima yaendelee, mfano mambo ya dini mgombea anawajibu wa kutoa mchango au maoni vile vile kwenye upenzi wa mpira anahaka mtoto wa watu ku enjoy sio muda wote awaze ccm mara ilani!! Aaa no maisha ya kawaida lazima yaendelee.
umesema vema sana, lakini unaangalia mazingira gani ya kuseam kitu husika na effect yake kwa watakao kutana nacho. HK tayari ni icon na pia ni mgombea unafikiri hichi kinamadhara gani katika mazingira ya kiuchaguzi in relation to ccm?
 
Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamisi Kigwangalla kumzungumzia Mgombea wa Urais wa CCM, Dkt. Magufuli badala ya kuendelea na malumbano yake yanayohusu mpira dhidi ya Mmiliki wa Simba SC, Mohammed Dewji..
Ndugu Bashiru ametekeleza vyema majukumu yake kama mtendaji mkuu wa Chama. Hakika wagombea wanatakiwa kufuata mwongozo huu.
 
Back
Top Bottom