Uchaguzi 2020 Baada ya Dkt. Kigwangalla kujibizana na Mo Dewji Twitter. Dkt. Bashiru amshukia Kigwangalla, amtaka am-tweet Dkt. Magufuli

Uchaguzi 2020 Baada ya Dkt. Kigwangalla kujibizana na Mo Dewji Twitter. Dkt. Bashiru amshukia Kigwangalla, amtaka am-tweet Dkt. Magufuli

Inasikitisha sana jamaa anawagawa wana simba wakati huu wa kampeni kisa LOAN REFUSAL
 
Kigwa stole the glory. Thou shalt not use Twitter for sports that's blasphemous.We beseech thee.
 
Anyang'anywe mic wakati mwingine
tapatalk_1599404081641.jpeg
 
Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamisi Kigwangalla kumzungumzia Mgombea wa Urais wa CCM, Dkt. Magufuli badala ya kuendelea na malumbano yake yanayohusu mpira dhidi ya Mmiliki wa Simba SC, Mohammed Dewji

Dkt. Bashiru amaema“Naona Hamis Kigwangalla yupo mitandaoni kujibizana na Mohammed Dewji mambo ya mipira, tupo kwenye uchaguzi. Nataka nione ana-tweet na wafuasi wake namna Mwenyekiti na Mgombea Urais wetu atakavyoshinda.”

Ameongeza, “Siingilii maisha binafsi, hakuna maisha binafsi unapokuwa mgombea wa CCM"

Dkt. Kigwangalla na Mo Dewji walianza kujibishana mtandaoni baada ya Kigwangalla kuhoji namna alivyopatikana CEO mpya wa Simba ambaye anaelewa kuwa PA wa Mo Dewji

Katika kujibu hoja hiyo Mo aliendelea hadi kumuomba msamaha Waziri Kigwangalla kutokana na mkopo wa pikipiki kutofanikiwa (hali iliyotafrisiwa kuwa Mo anadhani Kigwangalla anafanya hivyo kutokana na kunyimwa mkopo)

Hata hivyo, Kigwangalla aliendelea na kusema mkopo hauhusianj bali tu yeye anahoji kama Mwanachama wa Klabu ya Simba. Aliweka bayana barua pepe aliyoombea mkopo wa pikipiki na pia alionesha tweet zake za nyuma ambazo pia alikuwa a ahoji mambo kadhaa ndani ya Simba

Wote ni wana wa shamba la bwana heri sie embu tuendelee na lisu wasitutoe kwenye reli
 
Sa
Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamisi Kigwangalla kumzungumzia Mgombea wa Urais wa CCM, Dkt. Magufuli badala ya kuendelea na malumbano yake yanayohusu mpira dhidi ya Mmiliki wa Simba SC, Mohammed Dewji..
Saf sana,
Hakika CCM ni chama chenye nidhamu
 
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Bashiru Ally mchana wa leo ametoa maelekezo kwa wagombea wa Ubunge kubaki katika maeneo yao ya jimbo na kufuata maelekezo na taratibu zilizopangwa na Kamati za Siasa za Wilaya husika. Katibu Mkuu amewataka wabunge kuzingatia ratiba za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na ratiba za Kamati za Siasa za Wilaya kuungana na Viongozi wengine kuwatafutia Kura wagombea Udiwani pamoja na kumuombea Kura mgombea Urais wa CCM Ndugu John Pombe Magufuli...
Tumesikia na TUNATII...
 
Mo na Kigwangala wote matapeli tu. Hakuna msafi kati yao wote wezi tu. Tena acheni watiane spana ili CCM itoke kiurahisi. Inatakiwa watu wawachochee moto wana CCM ili wavurugike, huku kampeni zikiendelea.
 
Back
Top Bottom