Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Inasikitisha sana jamaa anawagawa wana simba wakati huu wa kampeni kisa LOAN REFUSAL
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwekezaji wa Mo Simba ni sawa na ule wa ABSA kwenye iliyokuwa benki yetu ya NBC.Dr Kigwangalla yuko sahihi Mo Dewji alipe sh bilioni 20 za Simba.
Maendeleo hayana vyama!
Wote ni wana wa shamba la bwana heri sie embu tuendelee na lisu wasitutoe kwenye reliKatibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamisi Kigwangalla kumzungumzia Mgombea wa Urais wa CCM, Dkt. Magufuli badala ya kuendelea na malumbano yake yanayohusu mpira dhidi ya Mmiliki wa Simba SC, Mohammed Dewji
Dkt. Bashiru amaema“Naona Hamis Kigwangalla yupo mitandaoni kujibizana na Mohammed Dewji mambo ya mipira, tupo kwenye uchaguzi. Nataka nione ana-tweet na wafuasi wake namna Mwenyekiti na Mgombea Urais wetu atakavyoshinda.”
Ameongeza, “Siingilii maisha binafsi, hakuna maisha binafsi unapokuwa mgombea wa CCM"
Dkt. Kigwangalla na Mo Dewji walianza kujibishana mtandaoni baada ya Kigwangalla kuhoji namna alivyopatikana CEO mpya wa Simba ambaye anaelewa kuwa PA wa Mo Dewji
Katika kujibu hoja hiyo Mo aliendelea hadi kumuomba msamaha Waziri Kigwangalla kutokana na mkopo wa pikipiki kutofanikiwa (hali iliyotafrisiwa kuwa Mo anadhani Kigwangalla anafanya hivyo kutokana na kunyimwa mkopo)
Hata hivyo, Kigwangalla aliendelea na kusema mkopo hauhusianj bali tu yeye anahoji kama Mwanachama wa Klabu ya Simba. Aliweka bayana barua pepe aliyoombea mkopo wa pikipiki na pia alionesha tweet zake za nyuma ambazo pia alikuwa a ahoji mambo kadhaa ndani ya Simba
Saf sana,Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamisi Kigwangalla kumzungumzia Mgombea wa Urais wa CCM, Dkt. Magufuli badala ya kuendelea na malumbano yake yanayohusu mpira dhidi ya Mmiliki wa Simba SC, Mohammed Dewji..
Inasikitisha sana jamaa anawagawa wana simba wakati huu wa kampeni kisa LOAN REFUSAL
Tumesikia na TUNATII...Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Bashiru Ally mchana wa leo ametoa maelekezo kwa wagombea wa Ubunge kubaki katika maeneo yao ya jimbo na kufuata maelekezo na taratibu zilizopangwa na Kamati za Siasa za Wilaya husika. Katibu Mkuu amewataka wabunge kuzingatia ratiba za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na ratiba za Kamati za Siasa za Wilaya kuungana na Viongozi wengine kuwatafutia Kura wagombea Udiwani pamoja na kumuombea Kura mgombea Urais wa CCM Ndugu John Pombe Magufuli...
Sasa unaangalia na wakat,Bashiru asimfokee Kigwangala.
Ndiyo maana Chadema wanasisitiza Uhuru, Haki na Maendeleo
Warabu tunaema samiina waatwaanaTumesikia na TUNATII...
Kilaza Ni Yule Katibu Mkuu Wa Chama Kileee....Yule Katibu Mkuu anayemeza DAWA ZA MIREMBE na kufungwa KAMBA Majira ya "msimu".Bashiru kilaza ndio hawa wa majalalani walioitumia Simba Arusha kucheza bure
Acha unafki,Yani huko CCM kuanzia mwenyekiti hadi katibu mkuu wote ni madikteta.
Swadakt,na Siyo Samiina WAASWAINA...Warabu tunaema samiina waatwaana
Hayo unasema wwUhuru na haki haviheshimiwi kabisa ccm
OyeeeSwadakt,na Siyo Samiina WAASWAINA...
CCM hoyeee