Uchaguzi 2020 Baada ya Dkt. Kigwangalla kujibizana na Mo Dewji Twitter. Dkt. Bashiru amshukia Kigwangalla, amtaka am-tweet Dkt. Magufuli

Uchaguzi 2020 Baada ya Dkt. Kigwangalla kujibizana na Mo Dewji Twitter. Dkt. Bashiru amshukia Kigwangalla, amtaka am-tweet Dkt. Magufuli

Kigwangala ni Bilionea ,mwezi wa 6 ameingiza Bil 10 na pia hapa juzi kati ameuza Gunia za mchele 1500 halafu bado anaomba akopeshwe piki piki 25 hahahaha viongozi wa serikali wanapenda sana kuwatapeli/kuwadhulumu wafanyabiashara.
 
Siiingilii maisha binafsi,hakuna maisha binafsi unapokuwa mgombea ccm


Kiswahili kigumu nadhani[emoji1438]‍♂
Iko sawa, Unapokua mgombea wa ccm unabeba image ya chama so unapaswa kuishi kwa kutambua kuwa unabeba tswira ya chama
 
Kwa maoni yangu Hamisi Kigwangalla ana hujumu kampeni za CCM kwa kujua au kutokujua. Majibizano yake na Mo yameanzisha mijadala kwenye social network zote, baada ya watu kufuatilia ahadi zinazotolewa na mwenyekiti wake, badala yake watu wanafuatilia mabishano yake na Moo.

Anajua fika kuwa ukigusa simba na yanga nchi hii unawagusa wengi hivyo watu wameacha siasa wanamtetea Mo.

Hamisi ajue CCM inatumia gharama kubwa kwenye kampeni hizi hivyo kuyumbisha watu kwa namna yoyote ile ni kujitia hasara wenyewe pia ajue mitandao ya kijamii ni muhimu sana kipindi hiki kwani kuna wafuatiliaji wengi.

Hatujui kwa nini alete madai haya kipindi hiki cha kampeni.

Kukopa kuna kupata na kukosa, kama alikunyima kukukopesha achana nae.

Wote wawili Magu na Kigwangala wamepotea. LISSU ndiye mpango mzima.
 
Akumbushe wanachama wote basi, sasa yeye mpaka aone kichaka ndo mavi yambane??
sahihi lakini mpaka anamtarget yeye ni kwa sababu ya kilichikuwa kinaendelea na kama angekuwa too general utekelezaji usingelikuwa instant kama ilivyokuwa inahitajika na pia kumbuka huyo ni mgombea wa ubunge katki ajimbo lake alikuwa tayari ameshasahau majukumu yake kwa kipindi hichi cha uchaguzi ya kunadi ilani na sera za mgombea uraisi wa chama chake na kuengage zaidi kwenye mitandao ya kijamii
 
Waendelee kidogo kujibizana ili tumpate Nani alimteka MO kwani rafiki msirini
 
Sasa hayo si mambo ya kuelekezana kwenye vikao vyenu kwani lazima mje kwenye social media?? CCM mmepotea asee huu upepo wa lisu utawafurahisha.
 
Nilikua naipenda CCM ila kwa sasa hapana asee mambo mnayoyafanya naona hofu ya kupigwa chini na lisu inawaingia now
 
tunakushuku JPM kwa kumuona Bashuru na kumupa nafasi katika chama chetu nidhamu ya chama inaonekana
 
Amearibu kwa kweli ameteke social network zote
Kigwa kanyea kambi, Wakati Moo akiiitumia Simba Day kumnadi Na 1 na kuchombeza Salam za Chama Tawala yeye ameona hiyo haifai anaamua kumpaka matope. Hakika Kigwa umeeenda chakka kumgusa Moo kipindi hiki kisa tu Bodaboda za Mkopo zimebuma.
 
Back
Top Bottom