Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haueleweki..Hivi kweli nape ulikuwa unajifanya unajua siasa kisha ukalimisha kupita bila kupingwa! Huyo Bashiru anataka mtumie mitandao kuelezea ilani na kuomba kura, si huwa mnasema mitandaoni hakuna wapiga kura?
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Bashiru Ally mchana wa leo ametoa maelekezo kwa wagombea wa Ubunge kubaki katika maeneo yao ya jimbo na kufuata maelekezo na taratibu zilizopangwa na Kamati za Siasa za Wilaya husika. Katibu Mkuu amewataka wabunge kuzingatia ratiba za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na ratiba za Kamati za Siasa za Wilaya kuungana na Viongozi wengine kuwatafutia Kura wagombea Udiwani pamoja na kumuombea Kura mgombea Urais wa CCM Ndugu John Pombe Magufuli.
Sambamba na maelekezo hayo, amewataka wabunge kutumia mitandao ya kijamii katika kutafuta kura za Chama Cha Mapinduzi kwa kufafanua ilani yetu ya Chama kwa mwaka 2020- 2025 kwa kuwaeleza wananchi kipi kimetekelezwa na kipi tunatarajia kukitekeleza pamoja na kuhamasisha wananchi kwenda kupiga kura siku ya tarehe 28 Oktoba 2020.
Nidhamu ya Chama inatuongoza kusikiliza maelekezo ya Viongozi wetu na bila kinyongo kuyatii na kujisahihisha.
Tunasema tumesikia na tumetii...!
View attachment 1560618View attachment 1560618View attachment 1560620
Kweli kabisaaaChama cha mapinduzi kina misingi imara sana
Hakika mwana ukomeDr Bashiru kafanya jambo la Msingi saana
Hiyo ni kweli kabisa wagombea wote twende majimboni kwetu tukawataftie kura wagombea wote wa udiwani ili wapate kura nyingi sana na za kutosha tuache kuzurura tu. Tunachotafta ni ushindiKatibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Bashiru Ally mchana wa leo ametoa maelekezo kwa wagombea wa Ubunge kubaki katika maeneo yao ya jimbo na kufuata maelekezo na taratibu zilizopangwa na Kamati za Siasa za Wilaya husika. Katibu Mkuu amewataka wabunge kuzingatia ratiba za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na ratiba za Kamati za Siasa za Wilaya kuungana na Viongozi wengine kuwatafutia Kura wagombea Udiwani pamoja na kumuombea Kura mgombea Urais wa CCM Ndugu John Pombe Magufuli.
Sambamba na maelekezo hayo, amewataka wabunge kutumia mitandao ya kijamii katika kutafuta kura za Chama Cha Mapinduzi kwa kufafanua ilani yetu ya Chama kwa mwaka 2020- 2025 kwa kuwaeleza wananchi kipi kimetekelezwa na kipi tunatarajia kukitekeleza pamoja na kuhamasisha wananchi kwenda kupiga kura siku ya tarehe 28 Oktoba 2020.
Nidhamu ya Chama inatuongoza kusikiliza maelekezo ya Viongozi wetu na bila kinyongo kuyatii na kujisahihisha.
Tunasema tumesikia na tumetii...!
View attachment 1560618View attachment 1560618View attachment 1560620
Chama kubwa sana.ccm sisi ni chama cha watu
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Bashiru Ally mchana wa leo ametoa maelekezo kwa wagombea wa Ubunge kubaki katika maeneo yao ya jimbo na kufuata maelekezo na taratibu zilizopangwa na Kamati za Siasa za Wilaya husika. Katibu Mkuu amewataka wabunge kuzingatia ratiba za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na ratiba za Kamati za Siasa za Wilaya kuungana na Viongozi wengine kuwatafutia Kura wagombea Udiwani pamoja na kumuombea Kura mgombea Urais wa CCM Ndugu John Pombe Magufuli.
Sambamba na maelekezo hayo, amewataka wabunge kutumia mitandao ya kijamii katika kutafuta kura za Chama Cha Mapinduzi kwa kufafanua ilani yetu ya Chama kwa mwaka 2020- 2025 kwa kuwaeleza wananchi kipi kimetekelezwa na kipi tunatarajia kukitekeleza pamoja na kuhamasisha wananchi kwenda kupiga kura siku ya tarehe 28 Oktoba 2020.
Nidhamu ya Chama inatuongoza kusikiliza maelekezo ya Viongozi wetu na bila kinyongo kuyatii na kujisahihisha.
Tunasema tumesikia na tumetii...!
View attachment 1560618View attachment 1560618View attachment 1560620
Tunatii maagizo yako ndg Katibu MkuuKatibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Bashiru Ally mchana wa leo ametoa maelekezo kwa wagombea wa Ubunge kubaki katika maeneo yao ya jimbo na kufuata maelekezo na taratibu zilizopangwa na Kamati za Siasa za Wilaya husika. Katibu Mkuu amewataka wabunge kuzingatia ratiba za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na ratiba za Kamati za Siasa za Wilaya kuungana na Viongozi wengine kuwatafutia Kura wagombea Udiwani pamoja na kumuombea Kura mgombea Urais wa CCM Ndugu John Pombe Magufuli.