Baada ya Dogo kumaliza Kuwekeza katika Ardhi sasa mmempeleka Utumishi ili akawapachike kwa Kumlindia alivyodhulumu

Wanavuna na alipopelekwa kuna mishe mingi utumishi pale madudu mengi ubabe mwingi akawe fair, akatatue migogoro watumishi hawana chao, mishahara kiduchu, madaraja miaka 6 watu hawapandishwi na hao watu wa utumishi docs zikipelekwa wanazikalia mpaka wapate chochote kitu ndo wafanyie kazi docs kwa kifupi idara kama hizi 5 za haki jinai ambazo zinachunguzwa utendaji kazi wake wasipoziwezesha kimaslahi kwa watumishi wake itakuwa shida coz vishawishi ni vingi vipo lakini wanajidahidi kukwepa alafu Mwajiri anapuuza maslahi watajuana ila kuna shida sana
 
Umeandika Kwa hisia sana.... mpk mtu atulize medula kukuelewaa.....well done 😊😊🤓🤓
 
Ridhiwani ana akili sana ...sema tu watu wanamchukulia poa kutokana ma BABA yake...lakini kichwani Yuko vizuri na ni product ya UDSM LAW SCHOOL
Uyo ana akili za kimtaa, kimafia na kimkakati ila sio akili za darasani za kupata sijui maGPA au upper class au PhD yaani ni copy ya baba yake mpaka tabia huwezi ukamkuta analalamika
 
Hivi unajua ili usome UDSM Tena LAW halafu miaka hiyo ya nyuma unatakiwa uwe na div 1 mwisho point 4...sasa dogo kapita pale na GPA first class with honors..yupo vizuri sana upstairs
 
Ridhiwani angepewa uwaziri kamili kbsa anafaha mno Ni mchapakazi na Wala Hana nnjaa Kali kihvyo hata ardhi mamb yalianza kuwa mazuri

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wewe Acha uchawa wako , mambo gani mazuri ili hali ametumiwa na baba yake na waarabu wake kujimilikisha ardhi yenye madini huko Rukwa na Katavi. Huu ni ukoo wa mafisadi.
 
Back
Top Bottom