Baada ya Dogo kumaliza Kuwekeza katika Ardhi sasa mmempeleka Utumishi ili akawapachike kwa Kumlindia alivyodhulumu

Baada ya Dogo kumaliza Kuwekeza katika Ardhi sasa mmempeleka Utumishi ili akawapachike kwa Kumlindia alivyodhulumu

Hivi unajua ili usome UDSM Tena LAW halafu miaka hiyo ya nyuma unatakiwa uwe na div 1 mwisho point 4...sasa dogo kapita pale na GPA first class with honors..yupo vizuri sana upstairs
[emoji3][emoji3][emoji3] mmmh,acha kwanza ninywe kahawa.
 
Ridhiwani ana akili sana ...sema tu watu wanamchukulia poa kutokana ma BABA yake...lakini kichwani Yuko vizuri na ni product ya UDSM LAW SCHOOL
Tunaojuana na Waliosoma nae Law hapo UDSM na jinsi walivyomsaidia Kitaaluma wakati akiwa Mtupu Kimaarifa ngoja tunyamaze tu.
 
Uyo ana akili za kimtaa, kimafia na kimkakati ila sio akili za darasani za kupata sijui maGPA au upper class au PhD yaani ni copy ya baba yake mpaka tabia huwezi ukamkuta analalamika
Umesema ukweli ambao Majuha wataupinga.
 
Hivi unajua ili usome UDSM Tena LAW halafu miaka hiyo ya nyuma unatakiwa uwe na div 1 mwisho point 4...sasa dogo kapita pale na GPA first class with honors..yupo vizuri sana upstairs
Acha uongo jamaa ana ka gentleman
Ali graduate kimagumashi alisha disco akarudishwa na huyu ambaye ni jaji Mkuu akiwa Dean pale
 
Tatizo Tz man chuki binafsi.Ridhiwani kwanza anabebwa na shule yake. Na kama alivyo Rais wa Zanzibar. Mbn Rais wa Tz hajamteua moto wake? Uwaziri au top Posts hazisomewi. Peleka moto shule
 
Back
Top Bottom