All truth23
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 1,215
- 1,401
Duh haya mambo mbona yanamwisho tyNa kwa Majina niliyoyaona ni dhahiri shahiri Baba mwenye Nyumba kwa sasa baada ya mwingine kuwa hajielewi hata Kumbukumbu tu hana atakuwa kahusika nayo kwa 95%
Hakuna wivu wala chuki kwani Hawa ni maharamia waliotumia na wazidi kutumia influence yao kupora rasilimali zetu!Acha wivu na chuki
Ehe mzee mwenzangu vp tuanzishe nchi yetu,ndani ya nchi hii au [emoji1]Nchi ngumu hii
USSR
Kwani we Huna akiliRidhiwani ana akili sana ...sema tu watu wanamchukulia poa kutokana ma BABA yake...lakini kichwani Yuko vizuri na ni product ya UDSM LAW SCHOOL
Eti Ana akili kwani wao hawana akili [emoji1]Mnapenda sana kuabudu watu.
Na kwakuwa mnapenda kuabudu watu huwa mnatakiwa kila sababu ya kuhalalisha ibada yenu kwao.
[emoji3][emoji3][emoji3] mmmh,acha kwanza ninywe kahawa.Hivi unajua ili usome UDSM Tena LAW halafu miaka hiyo ya nyuma unatakiwa uwe na div 1 mwisho point 4...sasa dogo kapita pale na GPA first class with honors..yupo vizuri sana upstairs
Sie wenye lower class with honors mbona hatukumbukwi hata kwenye uafisa kitongoji?Hivi unajua ili usome UDSM Tena LAW halafu miaka hiyo ya nyuma unatakiwa uwe na div 1 mwisho point 4...sasa dogo kapita pale na GPA first class with honors..yupo vizuri sana upstairs
Tuma CV yako pmSie wenye lower class with honors mbona hatukumbukwi hata kwenye uafisa kitongoji?
LiniDuh haya mambo mbona yanamwisho ty
Nitakuja mkuuTuma CV yako pm
Nilisema wapi na lini? Leta ushahidi wa hii ID yangu pekee ya GENTAMYCINE kama iliandika hivyo. Nitashukuru.Vipi. Si ulisema yule jamaa anaweza kwenda na maji apande magari yake kwenda burundi? Mbona yupo sana tu wala hajatenguliwa wala kubadilishwa
Tunaojuana na Waliosoma nae Law hapo UDSM na jinsi walivyomsaidia Kitaaluma wakati akiwa Mtupu Kimaarifa ngoja tunyamaze tu.Ridhiwani ana akili sana ...sema tu watu wanamchukulia poa kutokana ma BABA yake...lakini kichwani Yuko vizuri na ni product ya UDSM LAW SCHOOL
Umesema ukweli ambao Majuha wataupinga.Uyo ana akili za kimtaa, kimafia na kimkakati ila sio akili za darasani za kupata sijui maGPA au upper class au PhD yaani ni copy ya baba yake mpaka tabia huwezi ukamkuta analalamika
Acha uongo jamaa ana ka gentlemanHivi unajua ili usome UDSM Tena LAW halafu miaka hiyo ya nyuma unatakiwa uwe na div 1 mwisho point 4...sasa dogo kapita pale na GPA first class with honors..yupo vizuri sana upstairs
Akikujibu nitagi tafadhali sana Mkuu.Hiyo law school kasoma lini!?
Kwani kusema Dogo alikuwa hana Akili mnaogopa nini?Acha uongo jamaa ana ka gentleman
Ali graduate kimagumashi alisha disco akarudishwa na huyu ambaye ni jaji Mkuu akiwa Dean pale
Tunaojuana na Waliosoma nae Law hapo UDSM na jinsi walivyomsaidia Kitaaluma wakati akiwa Mtupu Kimaarifa ngoja tunyamaze tu.
Tunaojuana na Waliosoma nae Law hapo UDSM na jinsi walivyomsaidia Kitaaluma wakati akiwa Mtupu Kimaarifa ngoja tunyamaze tu.
Hana Akili period.Na nasikia alisoma miaka 6 instead of 4