Baada ya Dogo kumaliza Kuwekeza katika Ardhi sasa mmempeleka Utumishi ili akawapachike kwa Kumlindia alivyodhulumu

UDSM sote twapajua, Kuna marks za chupi pale vile vile unaweza ukamhonga supervisor ukaibuka na PhD nzuri tu, lakini when it comes to things on the ground PhD hiyo hiyo inashindwa kabisa kutatua changamoto za kiuchumi.
 
Acha uongo basi rizwan kajoin udsm mwaka 2001 div 1 point 9 walikuwepo pale facult of law
Nikiiangalia Sura yake na Uongeaji wake siioni hiyo Division I ya Point 9 ila naona Upopoma mtupu tu ndani yake.
 
Kitendo Cha kusoma UDSM tu inatosha...UDSM ni chuo cha ndoto Kwa Kila mwanafunzi wa kitanzania
NB: kila anayemaliza form six hutamani kusoma udsm au muhas
Hivi ndivyo Majuha mnavyodanganyana mkiwa Vijiweni Kwenu / Mwenu?
 
UDSM sote twapajua, Kuna marks za chupi pale vile vile unaweza ukamhonga supervisor ukaibuka na PhD nzuri tu, lakini when it comes to things on the ground PhD hiyo hiyo inashindwa kabisa kutatua changamoto za kiuchumi.
Sijaona Chuo Kikuu bora kwa sasa nchini Tanzania kama cha SAUT Mwanza ambacho GENTAMYCINE nimesoma na najivunia kuwa Mmoja ya Watu niliosoma na Kupikwa vyema Kitaaluma, Kifikra, Kimkakati na Kimaarifa hasa kwa Kozi yangu Kipenzi ya Mass Communication ( Journalism )

Na pia ndiyo Chuo Kikuu alichosoma Genius wa Kimakuwa Hayati Benjamin William Mkapa ( aliyewahi kuwa Rais wa Tanzania ) enzi hizo Kikiitwa Nyegezi Social Training Centre ( NSTI )
 
Huwezi kuwa rais WA nchi kama Tanzania na usiwe vizuri upstairs!! Kwa hiyo baba WA Watu yupo vizuri
Tena Mshua ndiyo alikuwa Mtupu kuliko hata Mwana. Nina Wazee Wawili ( Mmoja sasa Mwanae ni Naibu Waziri ) walisoma nae wanasema alikuwa Mweupe hadi Aibu.
 
Mkuu ungefaulu vizuri usingesoma SAUT.
TRUST ME UNGESOMA UDSM
 
Mkuu ungefaulu vizuri usingesoma SAUT.
TRUST ME UNGESOMA UDSM
Kuna Ufaulu unaouzidi nilioupata wa Division II ya Form Four na Division I ya Form Six? Nasubiria Jibu lako tafadhali sawa?
 
Hakuna wivu wala chuki kwani Hawa ni maharamia waliotumia na wazidi kutumia influence yao kupora rasilimali zetu!
Maharamia???? kwani wamewafosi kitu chochote?? mmewachagua kwa kura. Kiukweli Ridhiwani ana bahati mbaya ya watu kumuingiza kwenye madudu mengi lakini ni mchapakazi sana.Huyu dogo bila hata influence ya baba yake uongozi anafaa huwezi kumlinganisha na hayo ma seti tupu Mwigulu, Napa na February. Muacheni kijana apige kazi yuko vizuri.
 
Kuna Ufaulu unaouzidi nilioupata wa Division II ya Form Four na Division I ya Form Six? Nasubiria Jibu lako tafadhali sawa?
Kwahiyo mkuu ulichagua SAUT na ukaacha UDSM chuo cha taifa?...
NITAKUWA WA MWISHO KUAMINI HILO....
NB:watu Huwa wanachagua vyuo kama SAUT baada ya kushindwa kwenda udsm na huo ndo ukweli mchungu ...niliwahi kuongea na mdogo wangu aliyemaliza udom software engineering lakini aliniambia kuwa ndoto yake ilikuwa kusoma udsm
 
Sumu mbaya kuliko zote chini ya jua ni Ubinafsi. Narudia Tena UBINAFSI, UBINAFSI.
 
Hana kuwa vizuri kokote bado anauza NGADA na rafiki yake yule mwenye kituo cha TV Mbezi beach! Baba yake ndio protector wao kwenye hiyo biashara.
 
Hao waarabu atakilwa wamevuryga sana. Huyu mama Mungu anamuona
Mwisho wake watarudi kutawala Zanzibar tena kwani Jamshid amekwisha karibia yuko Muscat siku hizi. Na mama haishi kuwateua wajomba ili wale kwa kamba alizowapa huku akiwapigia zumari!😂😂
 
Watu wanachuki binafsi sana. Yaani mtu anatoa ushuhuda wa uongo Ili kumuumiza asiyempenda na Wala hamjui kiundani, sababu ni chuki tu
 
Hana kuwa vizuri kokote bado anauza NGADA na rafiki yake yule mwenye kituo cha TV Mbezi beach! Baba yake ndio protector wao kwenye hiyo biashara.
Nasikitika kwa huu Ukweli wako bado kuna Vichwa Ngumu, Chawa wake / wao na Wavivu wa Kufikiri watakukatalia na hata Kukubishia hapa.
 
Nasikitika kwa huu Ukweli wako bado kuna Vichwa Ngumu, Chawa wake / wao na Wavivu wa Kufikiri watakukatalia na hata Kukubishia hapa.
Mkuu nimekuuliza kwamba "uliacha UDSM ukachagua SAUT au matokeo Yako ndo yalikupeleka SAUT?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…