Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Ila Simba wa dodoma siku hizi kawa kibonde, baada ya kukandwa na Noel kacheza na Sisco kakandwa tena.Mbio za kikubwa hizo.
Huyo dogo shukuru ni wamoto, kuna picha niliziona anavyotoka na miguu yake alivyokua anamkanda sisco[emoji91]Ila Simba wa dodoma siku hizi kawa kibonde, baada ya kukandwa na Noel kacheza na Sisco kakandwa tena.
Simba dom kibonde ila usimchukulie poa poa, Simba dom akikutana na wachezaji wa kawaida mechi 24 mtu anapigwa goli 18 Hance MtanashatiIla Simba wa dodoma siku hizi kawa kibonde, baada ya kukandwa na Noel kacheza na Sisco kakandwa tena.
Rusha video tuone shuku alimfunga Sisco na Ngoma gani, tutumie hizo Ngoma kuwacheba mapimbi mkoreaHuyo dogo shukuru ni wamoto, kuna picha niliziona anavyotoka na miguu yake alivyokua anamkanda sisco[emoji91]
Kaogopa kudharirika 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Noeli Muoga😃
ChaiHao wote mimi nachakaza!..
we unalijua kama lipo la online leta tucheze uone unavyotoka kwa aibu!Chai
Nlionaga mechi za Sisco, jinsi Sisco alivyo na hesabu za mbali na copy nyingi kwenye draft, Ila mmh mpaka mtu umfunge Sisco, kwenye mechi 24 tena goli 4, sio mchezo, unakua kwenye draft umeshakomaa na una mabalaa yako binafsi..Kaogopa kudharirika 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Njoo mwembe yangaSi mnisaidie mifumo hata miwili nianze kujinoa na wazee wa kahawa
DraftiKeli dunia uwanda mpana, ni nini hiki kinazungumziwa hapa
Ngoja tuone rematchSisqo ni mkali kuliko Shukuru. Itakuwa Shukuru alienda kumuandalia ngoma special.