Baada ya dogo Shukuru kumchakaza goli 4 Sisco, Noel ataka milioni moja ndio acheze na dogo Shuku.

Baada ya dogo Shukuru kumchakaza goli 4 Sisco, Noel ataka milioni moja ndio acheze na dogo Shuku.

Baada wiki iliyopita Dogo Shukuru kumtandika goli 4 kwa michezo 24 waliyocheza dhidi ya Dogo Sisco,
Dogo Shukuru ametamba kumtaka kucheza na Noel Namaloe ila Noel kama kamkimbia dogo kimtindo anataka awekewe dau la milioni moja ndio acheze na dogo Shukuru.

Ikumbukwe wiki chache zilizopita, Noel alicheza na Simba wa dodoma na kufanikiwa kushinda kwa magoli 2-0 kwa michezo 24 na kupewa laki 2, japo alipata pesa kutoka kwa mashabiki wake mbalimbali, lakini kucheza na dogo Shuku ametaka dau kubwa ni kama kiashiria fulani cha kuogopa.

Shuku alipewa kombe na laki 2 baada ya kufuta uteja kwa dogo Sisco.

Wadau wataka rematch ya Shuku na Sisco kabla ya kumvaa Noel (bingwa wa dunia) View attachment 3365552.
Noel Namaloe.

View attachment 3365553

Noel Vs Simba wa dodoma.

View attachment 3365554
Dogo Shuku.
Dogo kajiroga kurudiana na Sisqo. Yamemkuta ya kumkuta.
 
Back
Top Bottom