Nyangomboli
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 3,502
- 1,959
Ukitaka kudeal na hivi vitu basi andaa watu kutoka nje waje kufanya kazi. Hapo zamani watu kurudia shule au kutumia vyeti wa watu wengine kujiendeleza haikuwa tatizo. Naweza kusema ni zaidi ya asilimia hata 40 watu watatakiwa kufukuzwa kazi. Maana ukweli kuna hapa PHD holders wengi tu hawatumii majina yao ya kizaliwa maana walitumia majina ya watu. Usishangae hili likakufikia hata wewe. Sikatai, but if we need tjis wengi watalia sana.
Hapaswi kutumbuliwa kwa kuwa ni jasiri? Kuna watu wengi wapo huko ni majasiri hawana elimu vipi nao watumie vyeti vya ndugu zao maana wengine wana elimu ya darasa la nne lakini wana ndugu zao walikuwa wana PhD wameshatangulia mbele za haki watumie vyeti vyao? Kama kinachohitajika ni ujasiri ajirini vijana achaneni na ukaguzi wa vyeti mje na ukaguzi wa wa siyo jasiri
kinachozungumzwa ni wizi aka kugushi vyeti...ujambazi wa taaluma.hutaki majambazi yajadiliwe kwa ujambazi wao kisa wanatoa msaada ya kujenga misikiti na makanisa au kutoa mafungu manono kwa yatima?ujambazi utatukuzwa kwa njia hiyo ya kuficha maovu yao ?je hiyo ni halali ?tuubomoe huu ujambazi bila kujali mchango wa mhusika katika jamii.!