Baada ya 'Draw' ya 'CAF 'Kupangwa kuna Timu naiona itaambulia Point 1 CAFCC tu na nyingine Kufuzu Robo Fainali CAFCC

Baada ya 'Draw' ya 'CAF 'Kupangwa kuna Timu naiona itaambulia Point 1 CAFCC tu na nyingine Kufuzu Robo Fainali CAFCC

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Hiyo ambayo naiona itafuzu Robo Fainali (CAFCL) kama ilivyozoea sasa ijipange zaidi kwenda hadi Nusu Fainali na ikibahatisha ifuzu Fainali japo kwa Kikosi chake cha sasa na Migogoro iliyopo hilo silioni labda kwa Michuano ya Msimu ujao pale tu ikitulia Kiutawala na Kiudhamini (Kiuwekezaji)

Hiyo nyingine ambayo naiona ikijitahidi sana katika Michezo yake yote ya (CAFCC) itaambulia Point (Alama) Moja tu ila kwa Ugumu wa Mashindano iliyomo na ilivyozoea Kubebwa, Kudekezwa na Kuishi Kishirikina kwa Kuamini Jezi Moja hiyo hiyo nina uhakika itaambulia tu Alama (Point) Sifuri (Zero) na kuwa ya mwisho katika Kundi lake.

Naomba Uzi wangu huu MINOCYCLINE utunzwe kwani nina uhakika wa 100% kwa hiki nilichokiwasilisha hapa.

Mimi ndiyo MINOCYCLINE The Chief!!!
 
Timu zote za Tanzania zimepangwa na timu ngumu sana. Kikubwa juhudi na bahati na hasa mechi za nyumbani.
 
Awamu hii naziona Simba na Yanga wakifunzu robo fainali.
Kikubwa Simba aboreshe kikosi dirisha dogo hususani nafasi ya kiungo mkabaji na safu ya ushambuliaji, pia Yanga aboreshe safu ya ushambuliaji.
Makundi ambayo hizi timu zetu zimepangiwa hayatishi sana wote ni size yao kikubwa wapambane.
 
Hivi Ile faini waliyopigwa Simba na cafu kwa ushirikina na kusababisha kuchoma uwanja walishalipa ama bado???
Kwa hiyo washirikina wanaeleweka ksbb na uthibitisho wa video na fain ipo.
Halafu wameongeza na taaluma nyingine kubwa kuwaharibu vijana wetu kwa kuwauzia sembe.
 
Kwa kweli kwa kundi letu sisi yanga ndio underdog. Sioni namna tutapata wapi points maana timu yetu ni mbovu inayocheza na jukwaa na timu ya magazeti.
 
Kwa kweli kwa kundi letu sisi yanga ndio underdog. Sioni namna tutapata wapi points maana timu yetu ni mbovu inayocheza na jukwaa na timu ya magazeti.
Sisi simba ndio tuna hali mbaya zaidi. Tunaenda kucheza na wale jamaa wa Casablanca tukiwa na tunawategemea wachezaji kama Kibu na Boko. Tutafungwa magoli mengi mpaka tuchakae. Mimi naona ni bora tujitoe!
 
Back
Top Bottom