Baada ya 'Draw' ya 'CAF 'Kupangwa kuna Timu naiona itaambulia Point 1 CAFCC tu na nyingine Kufuzu Robo Fainali CAFCC

Nilijua utatumika Kombe la Dunia kujifunza mpira kua yoyote anaweza kushinda na yoyote anaweza kufungwa lakini naona hujajifunza kitu bado unaendekeza porojo na tabiri kubahatisha.
Mpira wa ulaya usiufananishe na Afrika, Simba baada ya dirisha la usajili kuisha, mechi watakazoshinda na za ndani tu. Wewe subiri utaona matokeo.
 
Ni kweli mkuu, kwa rekod ya simba hao wote anaweweza Taifa. Ila kwa ishu zinazoendelea simba kwa sasa, huenda wakapasuka vibaya sana.
 
Kwa kweli kwa kundi letu sisi yanga ndio underdog. Sioni namna tutapata wapi points maana timu yetu ni mbovu inayocheza na jukwaa na timu ya magazeti.
Ngada fc ktk ubora wako
 
Mpira wa ulaya usiufananishe na Afrika, Simba baada ya dirisha la usajili kuisha, mechi watakazoshinda na za ndani tu. Wewe subiri utaona matokeo.
Kweni mpira wa ulaya wanacheza angani?
Nachaanisha ni kua kila timu ina nafasi ya kufuzu hatuwezi dharau timu kama mleta mada anavofikiria.
 
Popoma [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…