REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Ndege ya QANTAS imetua KIA leo kutoka Australia ikiwa na wageni 310 ambao watakuwa Serengeti kwa siku tatu. [HASHTAG]#TanzaniaUnforgettable[/HASHTAG] #HK [HASHTAG]#VisitTanzania[/HASHTAG]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni ya kawaida sana. Hii hata jomo kenyatta inaweza kutuaView attachment 759475
Ndege ya QANTAS imetua KIA leo kutoka Australia ikiwa na wageni 310 ambao watakuwa Serengeti kwa siku tatu. [HASHTAG]#TanzaniaUnforgettable[/HASHTAG] #HK [HASHTAG]#VisitTanzania[/HASHTAG]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Huraaa
Bravo KIA
Bravo my President JPM
Bravo my beloved country TANZANIA
mkuu hapo ni KIA,na hiyo ndege B744,ya QANTAS imetua leoHiyo sio KIA hapo...
KIA- KENYA INTERNATIONAL AIRPORTView attachment 759475
Ndege ya QANTAS imetua KIA leo kutoka Australia ikiwa na wageni 310 ambao watakuwa Serengeti kwa siku tatu. [HASHTAG]#TanzaniaUnforgettable[/HASHTAG] #HK [HASHTAG]#VisitTanzania[/HASHTAG]
Kwenye hii picha zipo 2 zimeunganishwaView attachment 759475
Ndege ya QANTAS imetua KIA leo kutoka Australia ikiwa na wageni 310 ambao watakuwa Serengeti kwa siku tatu. [HASHTAG]#TanzaniaUnforgettable[/HASHTAG] #HK [HASHTAG]#VisitTanzania[/HASHTAG]
OK, kwani Kenya hamna international airport?Kilimanjaro International Airport
Anawananga wale washingiliaji wa jiweMbona hapo sio KIA mkuu