Baada ya Ethiopia, Israel inataka kuitambua Somaliland kama nchi ili kupambana na Houthi wanaotaka kuungana na Al Shabab wa Somalia

Kumbe hata huelewi kuwa walisema Alshaba ni tawi la Taliban?

Huwa mnabisha vitu kumbe ni ujinga tu umewajaa.
 
Nakushangaa mpaka leo huelewi kuwa Al Shabaab ni kikundi kilichoanzishwa na Wamarekani kama ilivyo Somaliland, wagawe uwatawale.

Kama watu wanahukumiwa kuwa "Al Shabab" kwa Uislam wao basi Somaliland ni zaidi ya Al Shabab.
Hivi mbona wajinga hawapungui duniani?
 
Kumbe hata huelewi kuwa walisema Alshaba ni tawi la Taliban?

Huwa mnabisha vitu kumbe ni ujinga tu umewajaa.
Walisema !! Nyinyi waislam hamuishi Taqqya, mpaka siku Yesu atakaporudi na kuwahukumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…