Jibu hoja! Tulikoanzia ni Al shabab, wewe unatuletea mujahidina wa Afghanistan 🇦🇫
Kwa haujui historia kabisa, kwa sababu The Mujahidina waliopigana na Soviet siyo hawa Talban wa sasa hivi. Talban inatokana na kabila la Pashtun. Mujahideen kupitia dhana yenu ya uislam ya brotherhood walikubali kuletewa wasilam wenye idiology ya Wahabism ambao baadae ndiyo wamepandikiza sumu. Wahabisim siyo creation ya America, bali ni masiasa kali wa Muslim Brotherhood ambao walijipenyeza huko Saudia. Na sasa, MBS anawafyagia kwa kwenda mbele. Muwakaribishe huku kwenu