Baada ya fungate ya utawala mpya kuisha, 'vita' imeanza rasmi

Na maombi yameanza rasmi, Mungu wetu ni mwema anatupigania na kama atashupaza shingo atakwenda na maji kabla ya majira kama haya mwakani..
Anaweza akakupuuza. Lakini akumbuke Lema alimuonya 'jamaa..'.
 
Kiukweli natamani sana mchakato wa Katiba mpya uendelee Ila mama ameshaonja asali, Ile rasimu hata yeye akiisoma sasa hivi ataikana kama Mwakyembe alivyoikana thesis aliyoandika kuhusu serikali tatu ambayo ndio ilimpatia PhD, kumbuka wakati anasimamia Ile rasimu hakuwa na mawazo kwamba siku moja yeye ndio atakuwa mtawala mkuu wa nchi.

Ikulu patamu jamani, tumuombee Hekima na busara awe nayo kama JK ambaye hakupenda kujikweza na madaraka. Awaze maslahi mapana ya Taifa letu sio kuwa wabinafsi ili kuweza kutoa fursa kwa kila mwananchi kuparticipate kwenye ujenzi wa Taifa moja kwa moja sio individually.

Kwa asilimia kubwa sana JK ni mtu poa sana basi tu maccm yalimkaba koo baada ya kugundua Katiba mpya ingewaondoa kwenye reli.
 
Akijifanya mgumu haambiliki hakika nawaambia KILICHOMTOA MAGUFULI NDICHO KITAKACHO MTOA SAMIA watanzania sio mabwege hakika nawaambieni

Kifo cha MAGUFULI inapaswa kuwa funzo kubwa kwake mwache aendelee kushupaza shingo
Punguzeni matisho
 
Yule ndio alikuwa dawa yenu wapuuzi kama nyinyi
Mlimponza magufuli na sasa mnataka kumponza na mama samia, sasa kazi kwake asipojifunza kwa yaliyomkuta magufuli asije laamu mtu zaidi ya yeye, ila mjue Mungu hana utani na mtu.
 
Hoja yako ni ya kipuuzi kabisa. Hivi unadhani wananchi vijijini hawaumizwi na wao kumchagua mtu wanayemtaka, halafu anatangazwa mwingine?

Hujasikia baadhi ya maeneo, wanavijiji walifikia mpaka kufyeka mazao ya mashambani ya watu waliotangazwa kuwa viongozi wao, huku wao wakiwa na uhakika kuwa hawakuwachagua?

Hivi mnaamini kijijini wanaishi wajinga watupu? Wewe kuwepo mjini, ni uthibitisho tosha kuwa hata mjini, wajinga wapo.
 
Samia akifikri ataendesha nchi kwa kuwafurahisha chadema atafeli mapema sana!
. Amuulize JK, mpaka vijana wadogo kama kina Mnyika wakimwita dhaifu!
Kuitwa dhaifu kuna uhusiano gani na demokrasia? Yule muliyekuwa mnamuita chuma alifanya nini cha maana?
 
Jimbo gani jombaa ikiwa majimbo yote mlizoa?vyama vya upinzani havina mwenyekiti wa mtaa,diwani wala mbunge je wao watafanyaje mikutano
 
Be what may, mapungufu ya Mama Samia hayawezi kuwa Kama ya yule. Yule alikuwa anafanya Genocide. Hafai hata kwa kusafishwa na gik.
Hamna lolote. Kuna baadhi ya watu huwa hamna adabu na mama kaliongelea hilo. Sasa mtangulizi wake alikua anawanyoosha hataki upuuzi ndo maana mnamchukia mpaka leo. Mkiendelea hivi kutaka kila jambo mnalotaka alifanye, nayye ataanza kuwanyoosha vilivyo. Nadhani mnaujua mnyoosho wa mwanamke, huwa hawarudi nyuma kwenye maamuzi yao.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Be what may, mapungufu ya Mama Samia hayawezi kuwa Kama ya yule. Yule alikuwa anafanya Genocide. Hafai hata kwa kusafishwa na gik.
Lile lilikuwa shetani Luciferi Nunda mla watu. Limefyekelewa kwa mbali na mashetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…