Kwanza tuelewe , ugaidi na uislamu ni vitu viwili tofauti.
Tujikumbushe nyuma kidogo kisa cha kuuawa kwa Gadaffi wa Libya na Saadam wa Iraq , pamoja na yote wale ndio walikua wafadhili wakubwa wa makundi ya kigaidi duniani.
Walitumia mabilioni mengi kufadhili makundi hayo duniani kote,
Baada ya hesabu ya mbali kupigwa na kuwa eliminate hao makundi mengi yalibaki bila nguvu kubwa hasa ya kifedha na wakarudi nyuma.
Pamoja na vikwazo kwa Iran ambae alikua mshirika wao wa siri , lakini aliendelea kutoa mafunzo mbalimbali kwa magaidi na kuwalipa mishahara magaidi wengi mashariki ya kati na kuwapelekea kila aina ya misaada muanzia hamas hadi hezbollah.
Hivo ni lazima Iran apigwe na amalizwe kiuchumi au kiongozi wao mkuu auwawe na uwekwe utawala wa kiraia ili mashariki ya kati itulie na iwe mahali salama pa kuishi binadamu.
Na haijatokea bahati mbaya Ben kusema Iran popote wanaweza kufika , ni sawa maana hata Raisi kuuawa ilikua ni salamu kwa Iran.
Na Iran alishapewa angalizo kua aache kufadhili hayo makundi lakini hakuacha na hakusikia,
Ni wakati sasa Iran ajitambue na afuate matakwa ya Israel.
Usalama wa anga la lebanon kwa sasa uko chini ya IDF , kimsingi iran hawezi kupeleka tena silaha pale wala kutoa msaada wowote ule.