Baada ya game atimliwa vaa pichu uende! makubwaa!

hebu nenda kamsome tena Mentor

punda haendi bila fimbo....wapo wanawake for gentlemen na wapo ambao ni punda bila fimbo hawaendi ole wako wewe gentleman uoe huyo..

oK OK maybe alimaanisha ulivyosema...'wapo wanawake for gentlemen'

Now I get it, the challenge is getting those ones...but as Kaizer put it and you assured him, 'There is hope for the gentle type'
 
Last edited by a moderator:

Tina ipo ila kwanza ujue una tatizo na kum avoid mtu completely..ni process
 
oK OK maybe alimaanisha ulivyosema...'wapo wanawake for gentlemen'

Now I get it, the challenge is getting those ones...but as Kaizer put it and you assured him, 'There is hope for the gentle type'

Mentor wapo wengi but unaweza waona boring..wengi ni open book Hawana tricks kabisa...inawezekana unakutana nao but ham click..hawa sumbua kichwa huwa wana excite sana
 
Last edited by a moderator:

I like this book...
 
Tina ipo ila kwanza ujue una tatizo na kum avoid mtu completely..ni process

Basi issue kubwa itabakia hapo kwenye kujua tatizo....si ushasikia habari za mtu anaumwa malaria lakini yeye mwenyewe anakataa kuwa sio malaria, na kuwa anajijua akiumwa hivyo kuna 'mtaalam' yuko Bagamoyo ndio huwa anamtibia?

Inawezekana kosa la kwanza kabisa ni kukataa kuwa "hatuna tatizo"....
 
Mentor wapo wengi but unaweza waona boring..wengi ni open book Hawana tricks kabisa...inawezekana unakutana nao but ham click..hawa sumbua kichwa huwa wana excite sana
you are right rafiki.....
na mara nyingi tunawapata ma-gentle wenzetu maana hao hawaoni shida kusikiliza upuuzi wetu.
Mtu kama Mentor lazima asi-click nao.....
 
Last edited by a moderator:
Kama kuna ka ukweli, gentlemen for families, bad boys waendelee na u bad wao

Most ladies (before marriage) go for the bad boys (this from experience) and the gentlemen kwa wakati huo wanaonekana old fashioned..
 
Mentor wapo wengi but unaweza waona boring..wengi ni open book Hawana tricks kabisa...inawezekana unakutana nao but ham click..hawa sumbua kichwa huwa wana excite sana

You remind me of a girl that I once knew..

you are right rafiki.....
na mara nyingi tunawapata ma-gentle wenzetu maana hao hawaoni shida kusikiliza upuuzi wetu.
Mtu kama Mentor lazima asi-click nao.....

Dada Mkubwa Fixed Point, si kweli! I am a gentleman at heart though at times I act 'bad'..it helps you know! I click with both types..haha

Kama kuna ka ukweli, gentlemen for families, bad boys waendelee na u bad wao

there is a very thin line between a gentleman and a bad boy! very...
 
Last edited by a moderator:
haya mapenzi kila siku kuibuka jipya loh...!!!!!!!!!! ngoja nianze kutengeneza defence za kila namna ....
 
Very thin line...na kuna ma bad boys wana act u gentleman...for years by the time mke anagundua too late
 
Last edited by a moderator:
Ukute wale wale matukio mapya yawakumba! Labda niwape referance number! Mi hata mtu tukikutana 1 time ushakuwa shostito! Maadam unirecognise tu the second time!

🙂 basi sawaaaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…