Baada ya game atimliwa vaa pichu uende! makubwaa!

ahahahahaaaaaaa osokoni katisha afu hili jina limenichekesha sana sijajua ni asili ya wapi Lara 1
Osokoni ni kimasai katika kitabu cha "IS IT POSSIBLE TO OLD A SPEAR IN ONE HAND AND A BOOK IN ANOTHER" chenye context ya umasaini, main character alikuwa Lerionka Ole Sururu, sasa baba yake Ole Sururu alikuwa gaidi, mchungu, bandidu ndo alikuwa mtaani amepewa jina la Oskoni kutokana na dawa chungu kuliko zote ya mti wa Osokonoi. Na Lerionka nae akawa anataka kurithi hilo jina la Osokoni!
 
m
Hahahaaa, kwa hiyo na wewe ndo ukambatiza shemeji yako jina la Osokoni......
Ila jamaa katisha... .
 
Osokoni ni kimasai katika kitabu cha "IS IT POSSIBLE TO OLD A SPEAR IN ONE HAND AND A BOOK IN ANOTHER" chenye context ya umasaini, main character alikuwa Lerionka Ole Sururu, sasa baba yake Ole Sururu alikuwa gaidi, mchungu, bandidu ndo alikuwa mtaani amepewa jina la Oskoni kutokana na dawa chungu kuliko zote ya mti wa Osokonoi. Na Lerionka nae akawa anataka kurithi hilo jina la Osokoni!

Duh lara 1 umenikumbusha mbaliii!!!!

IS IT POSSIBLE!????

BTT,
Osokoni ni noma, though I don't think I am capable of such barbaric acts!
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa nakuonyesha tu hapo rafiki The Boss aliposema kuna wadada wanawazimikia ma-gentleman, si wewe ulisema mkiwa magentle tunawaonea?
The Boss didn't mean that!

Most ladies (before marriage) go for the bad boys (this from experience) and the gentlemen kwa wakati huo wanaonekana old fashioned..
 
Last edited by a moderator:
sio tu gama na kuwa abusive pia..wanawake wengi ni 'mandondocha' wa wanaume abusive na wanaopiga game vizuri...huyo msichana hata aolewe na nani huyo jamaa atajipigia tu daily...

Hebu toa msaada wa kiushauri basi kwa hao wadada, manake hujakosea kabisa kuwa huwa "tunarudi" kama mbwa kwa chatu. Au ndio kusema ni nature na haina tiba?....Huyu mwenyewe pamoja na kutolewa resi na kipochi chake kuacha chumba kwa kupitia dirishani, si ajabu akarudi kwa Osokoni, hata ashauriwe vipi hatabadili msimamo wake..

Eeh Mwenyezi Mungu, muangalie mwanamke kwa jicho la tatu ajiondoe kwenye utumwa huu...
 
Osokoni(in maasai it means a tree called Osokoni thats bears very better fruits)
kweli his actions are better like those fruits of Osokoni!
Ohhhii ngishu na nje ngima( im proud of catlle that comes from the fire)!
 
Its bitter, not better.

Back
Top Bottom