lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,164
- Thread starter
- #81
Osokoni ni kimasai katika kitabu cha "IS IT POSSIBLE TO OLD A SPEAR IN ONE HAND AND A BOOK IN ANOTHER" chenye context ya umasaini, main character alikuwa Lerionka Ole Sururu, sasa baba yake Ole Sururu alikuwa gaidi, mchungu, bandidu ndo alikuwa mtaani amepewa jina la Oskoni kutokana na dawa chungu kuliko zote ya mti wa Osokonoi. Na Lerionka nae akawa anataka kurithi hilo jina la Osokoni!ahahahahaaaaaaa osokoni katisha afu hili jina limenichekesha sana sijajua ni asili ya wapi Lara 1