Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Nataka nijiridhishe nione kama nafasi yetu ya kusonga mbele bado ipo .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila timu ya kundi hili ikishinda inapita.JS Saoura 8pts
Al Ahly SC 7pts
AS Vita Club 7pts
Simba SC 6pts
Next Schedule:
Simba Sc Vs As Vita
Al Ahly Vs JS Saoura
Kwa hesabu za haraka bado simba tuna nafasi na advantage kubwa iwapo tutashinda mechi ya mwisho regardless of matokeo ya Ahly vs Saoura. God bless Simba, God bless Tanzania. Amen.
ipi ? kuwa mzalendo mkuuSimba wamerudi nafasi yao halali
Kwani lazima u comment??? Huwa mnakera sana aisee na mambo yenu ya kitotoSimba anaongoza kundi la whatsapp
Tatizo wivu mkuu, yaan huwa kuna watanzania wanaungana na nchi jirani kuiombea simba mabaya.Kwani lazima u comment??? Huwa mnakera sana aisee na mambo yenu ya kitoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Țuliza jazba. Usinipangie cha kucommentKwani lazima u comment??? Huwa mnakera sana aisee na mambo yenu ya kitoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio soka mkuu, huwezi shangiliwa na kila mtu! Simba pia huiombea Yanga mabaya inapocheza na timu za nje! Hata hivyo mmejitahidi kufika hapo, mi nilitamani mtolewe mzunguko wa kwanza! Uzalendo ni kwa Taifa stars tu huku kwingine kila mtu apambane na hali yake!Tatizo wivu mkuu, yaan huwa kuna watanzania wanaungana na nchi jirani kuiombea simba mabaya.
Wanakera sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha haya bhanaNdio soka mkuu, huwezi shangiliwa na kila mtu! Simba pia huiombea Yanga mabaya inapocheza na timu za nje! Hata hivyo mmejitahidi kufika hapo, mi nilitamani mtolewe mzunguko wa kwanza! Uzalendo ni kwa Taifa stars tu huku kwingine kila mtu apambane na hali yake!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani!!!! Umekasirika??Kwani lazima u comment??? Huwa mnakera sana aisee na mambo yenu ya kitoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wanaoiombea Simba mabaya ni malaya wa mpira Kama walivyo malaya wa kisiasa in Nyerere's voiceTatizo wivu mkuu, yaan huwa kuna watanzania wanaungana na nchi jirani kuiombea simba mabaya.
Wanakera sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
akiwa mzalendo ndo simba itaongoza kundi?ipi ? kuwa mzalendo mkuu
Kwa Kweli simba afungwe tu!JS Saoura 8pts
Al Ahly SC 7pts
AS Vita Club 7pts
Simba SC 6pts
Next Schedule:
Simba Sc Vs As Vita
Al Ahly Vs JS Saoura
Kwa hesabu za haraka bado simba tuna nafasi na advantage kubwa iwapo tutashinda mechi ya mwisho regardless of matokeo ya Ahly vs Saoura. God bless Simba, God bless Tanzania. Amen.
Hivi huwa mnasahau au mnafanya kusudi?Tatizo wivu mkuu, yaan huwa kuna watanzania wanaungana na nchi jirani kuiombea simba mabaya.
Wanakera sana.
Sent using Jamii Forums mobile app