Baada ya Gwajima, Mbasha Nae Akikana Kichanga Kilichozaliwa na Flora Mbasha

basi mtoto ni wa roho mtakavitu..mi naona kichanga kimefanana na mamake..its inhuman to portray a child's picture like that...Flora ur drama has impact to ur baby's future

huku ni kudhalilisha utu wa mtu, huyu mtoto anastahili privacy, kumpiga picha na kuanza kutawanya picha kwenye mitandao ni jambo la kipumbu sana, unataka kuniambia huyu mtoto alipigwa picha pasi mamayake kujua? labda hiyo picha si ya mtoto husika na hiyo ni drama tu ya kisanii vinginevyo ni mambo ya kijinga tu.
 

Kazi ipo aisee.
 

Ninayo picha wakat anajifungua nitaziweka
 

Flora hivi sasa anaishi wapi?
Nani kamkodishia hiyo nyumba. Hapo ndipo ushahidi wa kimazingira unatumika.
 
Jaman inawezekana mtt ni wa mbasha hivi kwann mnapenda mabaya yawafikie wenzenu,inawezekana kbs florah kipindi wanagombana alikua mjamzito tyr.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…