Baada ya hayati Magufuli kufariki 'mikutano ya injili' imeanza

Mwanza mjini wapo wahubiri wazungu (siwezi kuwatenga kama ni wamarekani, Wayahudi, nk mradi ni weupe) Wanaimba mapambio na kuserebuka wenyewe, pia wanahubiri wenyewe huku wakisaidiwa na wabongo kutafsiri kutoka lugha zao kwenda kiswahili....hawana sehemu maalum ya kuhubiri kwa maana ya vile viwanja maarufu hapana wao wanahubiri stend, gereji, jirani na hospitali, jirani na shule wakati masomo yanaendele, nk. yaani zile sehemu zisizo rasmi unawakuta! Pia wanahubiri muda wowote, jtatu saa moja na dk arobaini asubuhi, niliwakuta eneo jirani gereji za sabasaba barabara ya kwenda Kiseke wakisakata gospo ya Ben Mwaitege (wazungu hao) Pia kuna siku niliwakuta mapema saa mbili asubuhi wapo stand ya Igombe mjini!
Nimejikuta nawaza au wamekimbia covid kwao au wapo wanaisambaza...anyway ujinga na upuuzi sehemu ya kutupa huwa ni Afrika
Huko kwao maovu yamejaa tele. Si wawahubirie kwanza watu wao?
 
moja ya dalili ya kuwepo kwa biashara haramu ya unga ni utitiri wa mikutano ya injili ikifanywa na watu wasiokuwa na haiba wala karama ya kuwa wachungaji wala watumishi wa Mungu. dalili zimeanza kuonekana.

mikutano hiyo huambatana na safari za kuenda nje zisizoeleweka malengo yake. pia hutokea kuingia kwa wageni wengi kuwasili nchini kwa kivuli cha kufanya matamasha ya 'injili'.

safari za wasanii wetu na wa nje kutoka na kuingia nchini pia hushamiri.

wakati huohuo mtaani visa vya matumizi ya dawa za kulevya hushamiri. ulaji wa 'bata' kwa watu wasioeleweka wanafanya kazi gani kwa kipato kipi huongezeka.

kipindi cha dokta magufuli uovu huu ulidhibitiwa sana. China adhabu ya biashara hii ni kifo tu maana ukiwa na taifa la mateja kama nchi huwezi kupiga hatua kimaendeleo. China hayupo tayari kuona anazidiwa na Marekani kiuchumi ndo maana anailinda nguvukazi ya nchi yake kwa kutoa adhabu kali kwa walanguzi wa dawa za kulevya na wahujumu-uchumi wote bila kuangalia ni nani?

enzi za dr. magufuli dawa za kulevya zilidhibitiwa sana. madalali na walanguzi walikiona cha moto.

sasa tunarudi kulekule.

Mungu aunusuru uzao wetu maana yajayo yanasikitisha.

Pumzika kwa amani Dr. John Pombe Joseph Magufuli.
Una mawazo ya panya.Unataka Magufuli aishi wakati ameoza
 
We're so mhukumu. Taarifa za mikutano hiyo inapelekwa polisi na kwa mkuu wa wilaya na ina vibali. We're ni nani hadi uhoji hayo?
 
moja ya dalili ya kuwepo kwa biashara haramu ya unga ni utitiri wa mikutano ya injili ikifanywa na watu wasiokuwa na haiba wala karama ya kuwa wachungaji wala watumishi wa Mungu. dalili zimeanza kuonekana.

mikutano hiyo huambatana na safari za kuenda nje zisizoeleweka malengo yake. pia hutokea kuingia kwa wageni wengi kuwasili nchini kwa kivuli cha kufanya matamasha ya 'injili'.

safari za wasanii wetu na wa nje kutoka na kuingia nchini pia hushamiri.

wakati huohuo mtaani visa vya matumizi ya dawa za kulevya hushamiri. ulaji wa 'bata' kwa watu wasioeleweka wanafanya kazi gani kwa kipato kipi huongezeka.

kipindi cha dokta magufuli uovu huu ulidhibitiwa sana. China adhabu ya biashara hii ni kifo tu maana ukiwa na taifa la mateja kama nchi huwezi kupiga hatua kimaendeleo. China hayupo tayari kuona anazidiwa na Marekani kiuchumi ndo maana anailinda nguvukazi ya nchi yake kwa kutoa adhabu kali kwa walanguzi wa dawa za kulevya na wahujumu-uchumi wote bila kuangalia ni nani?

enzi za dr. magufuli dawa za kulevya zilidhibitiwa sana. madalali na walanguzi walikiona cha moto.

sasa tunarudi kulekule.

Mungu aunusuru uzao wetu maana yajayo yanasikitisha.

Pumzika kwa amani Dr. John Pombe Joseph Magufuli.
W ni mnyonge
 
Siku moja nipo Arusha maeneo ya Njiro nilioneshwa jumba moja la kifahari naambiwa ni la mchungaji fulani( nimesahau jina) ana kanisa. Nilibaki nimepigwa butwaa. Yaani sadaka ndo mtu ujenge mjengo ule.
 
We kweli mnyonge na maskini....
Unajua kuna watu wachache walikuwa wananufaika na awamu ya tano, wakati wengi wakitabika, sasa wanapoona kwao kibao kimegeuka, na kuhisi na hawa wengine maisha yanaweza boreka ndio uchawi unaanza!!
 
Kama kutokupiga hatua za maendeleo ni kutokana na kutumia unga, basi Afrika yote ni watumiaji wa unga. Kama unataka kumsifia yule dhalimu na jizi la kura, tumia mbinu nyingine sio hizi.
Siku hizi mwizi wa kura kawa mtu mmoja tu na sio chama cha ccm kama tulizozoea kusikia? Basi tutegemee uchaguzi ujao kuwe hakuna wizi maana mwizi wa kura hayupo tena.
 
Wahubiri ni wanaccm na wasanii ni wanaccm tena wapenzi wa Magufuli

List ni ndefu kwa uchache tu ni hawa

1. Mwinjilist Masanja mkandamizaji
2. Josephat Gwajima
3. Nabii Suguye
4. Nabii GeorDevi
5. Marehemu Lwakatare
6. Na maaskofu wa TAG.

Wasanii

1. Diamondi platinum
2. Alikiba
3. Etc

Unataka kusemaje? Kwamba Magufuli ndiye alikuwa anawatuma hayo madawa ya kulevya?
3.Roma mkatoliki
 
safari za wasanii wetu na wa nje kutoka na kuingia nchini pia hushamiri.

nasikia wanamziki wa bongofleva siku za hivi karibuni wameanza zile safari zao za kwenda south africa ku shoot video.

nakumbuka enzi za utawala jk wasanii walitumika sana kuigiza ngada nchini n
 
moja ya dalili ya kuwepo kwa biashara haramu ya unga ni utitiri wa mikutano ya injili ikifanywa na watu wasiokuwa na haiba wala karama ya kuwa wachungaji wala watumishi wa Mungu. dalili zimeanza kuonekana.

mikutano hiyo huambatana na safari za kuenda nje zisizoeleweka malengo yake. pia hutokea kuingia kwa wageni wengi kuwasili nchini kwa kivuli cha kufanya matamasha ya 'injili'.

safari za wasanii wetu na wa nje kutoka na kuingia nchini pia hushamiri.

wakati huohuo mtaani visa vya matumizi ya dawa za kulevya hushamiri. ulaji wa 'bata' kwa watu wasioeleweka wanafanya kazi gani kwa kipato kipi huongezeka.

kipindi cha dokta magufuli uovu huu ulidhibitiwa sana. China adhabu ya biashara hii ni kifo tu maana ukiwa na taifa la mateja kama nchi huwezi kupiga hatua kimaendeleo. China hayupo tayari kuona anazidiwa na Marekani kiuchumi ndo maana anailinda nguvukazi ya nchi yake kwa kutoa adhabu kali kwa walanguzi wa dawa za kulevya na wahujumu-uchumi wote bila kuangalia ni nani?

enzi za dr. magufuli dawa za kulevya zilidhibitiwa sana. madalali na walanguzi walikiona cha moto.

sasa tunarudi kulekule.

Mungu aunusuru uzao wetu maana yajayo yanasikitisha.

Pumzika kwa amani Dr. John Pombe Joseph Magufuli.
fa.la ww, Bado unaweweseka na kifo cha mungu wenu,
 
Genge linaendeleaje huko?
Inaonekana genge liko taabani bin hoi. Hayo ni mateke ya mpunda anaekata roho.
genge lianzishe biashara nyanya- ushauri.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
nasikia wanamziki wa bongofleva siku za hivi karibuni wameanza zile safari zao za kwenda south africa ku shoot video.

nakumbuka enzi za utawala jk wasanii walitumika sana kuigiza ngada nchini n
Na hao wote ni wanaccm akina Mwanafalsafa
 
moja ya dalili ya kuwepo kwa biashara haramu ya unga ni utitiri wa mikutano ya injili ikifanywa na watu wasiokuwa na haiba wala karama ya kuwa wachungaji wala watumishi wa Mungu. dalili zimeanza kuonekana.

mikutano hiyo huambatana na safari za kuenda nje zisizoeleweka malengo yake. pia hutokea kuingia kwa wageni wengi kuwasili nchini kwa kivuli cha kufanya matamasha ya 'injili'.

safari za wasanii wetu na wa nje kutoka na kuingia nchini pia hushamiri.

wakati huohuo mtaani visa vya matumizi ya dawa za kulevya hushamiri. ulaji wa 'bata' kwa watu wasioeleweka wanafanya kazi gani kwa kipato kipi huongezeka.

kipindi cha dokta magufuli uovu huu ulidhibitiwa sana. China adhabu ya biashara hii ni kifo tu maana ukiwa na taifa la mateja kama nchi huwezi kupiga hatua kimaendeleo. China hayupo tayari kuona anazidiwa na Marekani kiuchumi ndo maana anailinda nguvukazi ya nchi yake kwa kutoa adhabu kali kwa walanguzi wa dawa za kulevya na wahujumu-uchumi wote bila kuangalia ni nani?

enzi za dr. magufuli dawa za kulevya zilidhibitiwa sana. madalali na walanguzi walikiona cha moto.

sasa tunarudi kulekule.

Mungu aunusuru uzao wetu maana yajayo yanasikitisha.

Pumzika kwa amani Dr. John Pombe Joseph Magufuli.
Hayati hafi kwakuwa tayari ni marehemu
 
Pumzika kwa amani Dr. John Pombe Joseph Maguk

Una ushahidi wowote au tu una lengo la kuchafua serikali iliyopo?
 
Back
Top Bottom