denoo JG
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 2,701
- 9,759
Asante Sana, basi endelea kumwomba Mungu {Yesu Kristu} aendelee kukujalia karama ya utambuzi.Jina langu limeshaandikwa kwenye Kitabu cha uzima cha Mwanakondoo, nimeokoka ndugu, na Mungu yupo moyoni mwangu. nakukaribisha kwa Yesu na wewe uokoke. nina uhakika Mungu yupo moyoni mwangu kwasababu namwona.