Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ikumbukwe kwamba Kabla ya Heri James kuwa Mwenyekiti wa UVCCM nafasi hiyo ilishikwa na Hamad Masauni, japo baadaye aling'olewa kwa kashfa ya kufoji umri, baada yake akaja Sadifa, ambaye rekodi yake ya lugha chafu sidhani kama itakuja kuvunjwa. Hawa wote walitoka Zanzibar.
Sasa swali langu ni hili: Baada ya aliyepo kung'olewa kijanja na kupewa u-DC, anayefuatia atatoka bara au sasa ni zamu ya visiwani?
Sasa swali langu ni hili: Baada ya aliyepo kung'olewa kijanja na kupewa u-DC, anayefuatia atatoka bara au sasa ni zamu ya visiwani?