Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Kuna Mwingine nimeona anaitwa Chongolo je ni yule Katibu wa CCM Taifa?Ikumbukwe kwamba Kabla ya Heri James kuwa Mwenyekiti wa UVCCM nafasi hiyo ilishikwa na Hamad Masauni , japo baadaye aling'olewa kwa kashfa ya kufoji umri , baada yake akaja Sadifa , ambaye rekodi yake ya lugha chafu sidhani kama itakuja kuvunjwa , hawa wote walikuwa Wazanzibar .
Sasa swali langu ni hili , baada ya aliyepo kung'olewa kijanja na kupewa UDC , anayefuatia atatoka bara au sasa ni zamu ya visiwani ?