Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Umenena sahihi kabisaAwe bara awe Znz wote hawajitambui uvccm ilikuwa ya kina NCHIMBI LUKUVI ila sasa hivi hakuna kitu
Mbowe yeye kila uteuzi anachoangalia ni kama kuna wachaga ama lah na anataka wachaga wawe wengi.Mpelekee kwanza Mbowe pdf la ma DC akaangalie kama wachaga wamo, then atoe hotuba tena.
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Yule mhuni kupewa u-DC ni kitukoSasa swali langu ni hili , baada ya aliyepo kung'olewa kijanja na kupewa UDC , anayefuatia atatoka bara au sasa ni zamu ya visiwani ?
Sio ajabu nao ni Watanzania wanahaki ya kushiriki katika nafasi mbalimbali za uongozi kwenye nchi yao.Najiuliza nikwavipi kijana toka nchi ya Zanzibar anakuja kuwa mkuu wa wilaya huku bara??
Mbona hakuna mtanganyika mkuu wa wilaya nchini kwao Zanzibar?!
Ifike mahali tuwe na katiba current inayoakisi yasasa.
Vijana tubishane vya msingi sio kutwa taifa linabishana kama dayamondi atashinda biitii... Vijana wanaofanya hiyo ajenda ya kitaifa no vijana PUMBAFU KABISA
Sio ajabu nao ni Watanzania wanahaki ya kushiriki katika nafasi mbalimbali za uongozi kwenye nchi yao.
Jibu la swali lako (akijibu) nalitegemea linipe njia huko mbele π...mbona wa bara hawashiriki zanzibar wabara nao si watanzania
Muungano wetu ulivyo, ukiwa Mtanzania kutoka Zanzibar una haki zote za Zanzibar na Tanganyika, ila ukiwa Mtanzania wa Tanganyika haki zako ni huku Bara tu.Najiuliza nikwavipi kijana toka nchi ya Zanzibar anakuja kuwa mkuu wa wilaya huku bara??
Mbona hakuna mtanganyika mkuu wa wilaya nchini kwao Zanzibar?!
Ifike mahali tuwe na katiba current inayoakisi yasasa.
Vijana tubishane vya msingi sio kutwa taifa linabishana kama dayamondi atashinda biitii... Vijana wanaofanya hiyo ajenda ya kitaifa no vijana PUMBAFU KABISA
Akitoka Zanzibar hatakuwa na nguvu bara, na hiyo tutarudi enzi za Makonda.Ikumbukwe kwamba Kabla ya Heri James kuwa Mwenyekiti wa UVCCM nafasi hiyo ilishikwa na Hamad Masauni , japo baadaye aling'olewa kwa kashfa ya kufoji umri , baada yake akaja Sadifa , ambaye rekodi yake ya lugha chafu sidhani kama itakuja kuvunjwa , hawa wote walikuwa Wazanzibar .
Sasa swali langu ni hili , baada ya aliyepo kung'olewa kijanja na kupewa UDC , anayefuatia atatoka bara au sasa ni zamu ya visiwani ?
Halafu Cha ajabu wao hao hao wa kutoka huko ndio hawautaki Muungano huuMuungano wetu ulivyo, ukiwa Mtanzania kutoka Zanzibar una haki zote za Zanzibar na Tanganyika, ila ukiwa Mtanzania wa Tanganyika haki zako ni huku Bara tu.
La mkuu wa Wilaya mbona dogo sana, Mbarawa ni Mpemba na alikuwa waziri wa Ujenzi na baadae Maji wakati sio mambo ya Muungano. Wenyewe wanasema tuna Muungano wa kipekee.
Walipoteza nchi yao, sio jambo jepesi. Ni sawa na kuporwa shamba, halafu mporaji anasema usijali nitakuwa nakuletea chakula πππHalafu Cha ajabu wao hao hao wa kutoka huko ndio hawautaki Muungano huu