Baada ya Heri James kuwa DC, Mwenyekiti Mpya wa UVCCM kutokea tena Zanzibar?

Kuna Mwingine nimeona anaitwa Chongolo je ni yule Katibu wa CCM Taifa?
 
Balozi Nchimbi alipokuwa mwenyekiti wa UVCCM Taifa aliteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Bunda aliendelea kuwa mwenyekiti wa UVCCM hadi kumaliza muda wake
 
Mwili chadema akili sisiemu...
 
Kuna vijana pale CCM wana KIU ya uongozi wapo upande wa Bara naona ndio watakao pata icho cheo ..tena kuna wawili ambao mm nawahisi hawa wote ni wanandoa yaan mtu na mke wake
Mmoja kati yao ata chukua icho cheo
Kwa sasa mume wake ame attach na waziri flan then mke wake ana kacheo fulani ndan ya chama
 
Itapendeza maana mrithi wa Polepole ni ndugu yake na Samia, mwenyekiti lazima atoke kwao pia
 
This time ni mwanamke au binti kijana tokea Zbar....subiria uone
 
Chambuzi hizi zinafikirisha,asante kwa ufafanuzi kilichobaki tujipime kamanchi tunajielewa ama LA!!
 
Sio ajabu nao ni Watanzania wanahaki ya kushiriki katika nafasi mbalimbali za uongozi kwenye nchi yao.
Nikijibiwa namtu mjinga huwa natamani nimzibue kibao akili imkae sawa... Mfano Tamisemi ni ya muungano? Kwanini mzenji Stoke nchi take aje kuongoza wilaya huku bara? Wakitaka hivyo basis zenji isiwe nchi tuelewe moja!!
Hatutaki ushabiki maandazi tunataka utawala unaoeleweka sio mwendazake alijaza wasukma wake sasa nahuyu atujazie wapembaree hukubara.
 
Kumbuka kiti cha nchi hii kimekaliwa na mzanzibar ... kwahiyo usi ulize swali ambalo lina majibu
 
Walipoteza nchi yao, sio jambo jepesi. Ni sawa na kuporwa shamba, halafu mporaji anasema usijali nitakuwa nakuletea chakula [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Chambuzi hizi zinafikirisha,asante kwa ufafanuzi kilichobaki tujipime kamanchi tunajielewa ama LA!!
Ndio intaitwa Faustian bargain, hata sasa hivi, tulitakiwa tushangae Mzanzibari kututeulia wakuu wa wilaya huku bara.

Anyaways, sikiliza hotuba ya Mwalimu Nyerere, Kilimanjaro Hotel 1995. Aliongelea hili la wazanzibari kupewa madaraka yasiyohusu Muungano. Point yake in short ilikuwa ni kila Mzanzabari ni Mtanzania, lakini sio kila Mtanzania ni Mzanzibari i.e ukienda Mpemba na Mmakonde wakiwa Mtwara wana haki sawa, ila Wakienda Pemba, Mmakonde hana chake. Unique union indeed.d
 
hii ni ili siku kikinuka wanajikuta watapoteza zaidi.

kimsingi hakuna faida wewe kupata haki kamili zanzibar kama faida hizo umezikosa bara.
 
Watamtafuta MTU makini toka Chadema maana kule Lumumba wanaanda vijana wa kulipwa buku7 tuu kuja kuwatetea hpa JF. Wenzao Wa Chadema wanajitwalia Uwaziri ,ukuu Wa wilaya nk.
Masaburi alisema wanafikiri kwa kutumia Makalio eti ndio maana Mwenyekit wao anaokoteza wateule mbali nao
 
Chetu chao, chao chao.
 
Unaipenda CCM balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…