Baada ya Heri James kuwa DC, Mwenyekiti Mpya wa UVCCM kutokea tena Zanzibar?

Wazanzibar wanaongoza nchi vizuri acha wachukue tu.
 
Hivi makamu Mwenyekiti UVCCM taifa, Tabia Mwita alishastaafu cheo chake?
Maana aliteuliwa na Rais Mwinyi kwenye Baraza la wawakilishi kisha kuwa waziri huko Zanzibar?
 
Kumbuka kiti cha nchi hii kimekaliwa na mzanzibar ... kwahiyo usi ulize swali ambalo lina majibu
Kuna mambo ya muungano na yasokuwa ya muungano. Swala la urais linaeleweka nduguu tunaongelea yasiyo ya muungano kwanini wanatuingilia??
 

Haya ni mambo na taratibu za CCM sio swala la kitaifa. Huu ni umbea mzuri kupeleka kwa groups za CCM
 
CHATO
 
Ni upuuzi waturudishie tanganyika yetu. Kwanza jina tanganyika ni zuri kuliko Tanzania
 
Hivi makamu Mwenyekiti UVCCM taifa, Tabia Mwita alishastaafu cheo chake?
Maana aliteuliwa na Rais Mwinyi kwenye Baraza la wawakilishi kisha kuwa waziri huko Zanzibar?
Kweli dunia haiko fair.yani mwenyekiti uvccm anateuliwa kuwa DC wakati makamu mwenyekiti uvccm amelamba uwaziri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…