Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi siyo miongoni mwao [emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Jf wehuu wengi sanaa
Una ndoa??Nitavunja heshima kwenye ndoa
Salamu wakuu,poleni na majukumu ya hapa na pale
Siku chache zilizopita baba mwenye nyumba alikuwa amenibana kweli kuhusu kulipa kodi ya nyumba ,yaani kabla ya tarehe 20 alikuwa kila mara ananipigia sim nilipe kodi ila nikawa namwambia anipe muda mwisho wa mwezi
Ila bado akawa hatulii ,hakubali ,akidai kuna kazi hiyo hela inataka ikafanye,baadae nikaamua kupiga kimya nikawa siongei kuhusu hiyo hela
Jana nikawa nimepata hiyo hela nikaenda kuilipa kwenye akaunt yake bank na kumpelekea risit ya malipo
Leo nimekaa zangu napumzika nashtuka SMS inaingia kuangalia imethibitishwa sh million 1,500000 kutoka kwa huyo mzee,nikashtuka au alikuwa amekosea,nikampigia sim kumuuliza,amesema "Ndiyo mama nimekutumia unitunzie hiyo hela"
Bado najiuliza hili tukio sipati picha,iweje Mimi nimtunzie hela na huku ana akaunt na sim zenye akaunt?
Kama ananitaka mbona hajawahi kuonyesha hata dalili na mbona mtu mzima sana halafu mbaba mwenye heshma zake hapa mjini,mcha mungu!
Mbona alikuwa amenibana kuhusu hela ya kodi,kwenda kufanya shughuli zake nimelipa laki 7 lakini ananitumia million moja na nusu eti nimtunzie?
Mbona hajawahi kunipa hela nimtunzie iweje sasa?
Msaada,nipo njia panda
Heshima ya mpangaji wa kike hujengwa na mkwaju wa baba mwenye nyumbaNitavunja heshima kwenye ndoa
Nijiongezeje mkuu?
Wewe hutakii pesaa??? Umepewaa buree unapewaa pesaa utoee hutakii[emoji47][emoji47][emoji47]Ushauri wenu mbaya jaman
Umri ni namba tu heshima ni malipo mazuri kwa kumkubalia umpe hiyo neema. Akija muulize anataka mara ngapi hiyo iwe ndo bagain price yako. Mzee umfumbie macho aje kimya kimyaaaUmri wake na heshma yake hapa mjini Loh!
Mzee kajitunguaa aiseee[emoji47][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Duh mbona mzee kajifanya wa kisasa zaidi,kajiongeza mno
ni kweli kugumu lakini we kwani unaionajeonaje 1.5Mil bila jashoMmuuh! Kugumu sana
Sasaa wewe kwani hujawaii au??? Kwingne huwa unapanuajee..[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2] [emoji2] [emoji2] mungu wangu nitaanzaje
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wenye pesaa zao mzigoo huo upo SokoniiiMleta mada naona umekuja na style ya kipekee ya kujijengea profile hapa jf,
Wakubwa tumeshakuelewa!