Baada ya hiki nini kitafuata

Baada ya hiki nini kitafuata

Mzee kajitunguaa aiseee[emoji47][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu yani huyu mzee nimemvulia kofia, mzee anaenda na modern method
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] sina mbavu,hiyo tabia mbaya
Tabia mbaya ni kumuita ati ni mzee wakati anajua kuwa gizani paka wote ni weusi. Mwambie aje usiku kabisa na ni mara moja tu. Akiona vipi ni dau jingine tena. Mpe mtu waa watu kitu haiishi wala kupungua. Hujiulizi ukifa leo udongo utakulipa nini??
 
Ushauri wako mbaya
 
Back
Top Bottom