Baada ya hili nikiri kumpenda wema kwa dhati

Baada ya hili nikiri kumpenda wema kwa dhati

Wema mzuri acheni halafu ana kijisauti chake cha mvuto,yaani mimi mwenyewe kipindi yuko na yule mshikaji anaitwa Jumbe pae tabata nlikuwa namnyatia sana tu,bahat mbaya nikahama kwa nyerere nikaja ughaibuni,hata hivi bado namtimkia tu sijachoka,mwenye namba yake ani pm plsssss!!!!
 
Usidhani washamba ni kutoka shamba tu, hata hapa mjini tunao kibao!! so no wonder. Wem Sepetu hamna kitu, amebakia na figa ya kimodel tu, lakini ile K maji matupu hamna kitu, trust me nakupa ushuhuda wa kweli.

.....kama hiyo haifai unapiga 0713 800800 mkuu!
 
Washamba na wasomi wanashindana JF 2012...tena naona washamba wanakuja kwa kasi ya ajabu!siku si nyingi JF itakuwa kijiwe cha washamba!!!
 
Duh mtoto anawaka sijui kwanini hatulii na watu kama mimi ha ha ha ha.

attachment.php

Kwangu mimi wema namkubali sana,kwa sababu zifuatazo;
1.Wema is Real-huyu msichana ni muwazi ,hapendi kuficha mahusiano yake kwa sababu anakuwa na mtu mmoja tu.Wangapi kwenye jamii wenye watu kadha wa kadha na hawana confidence hata ya kuwatambulisha?

2.Wema hana tofauti na jamii nzima ilivyo,She is a mere reflection on how the society is.Wachafu ni wengi sana sema hawana publicity (Sio ma star).Again wema is real sema wanaume wenyewe anaokutana nao wanakuwahawana msimamo wa kimaisha zaidi.

3.Wema kama binadamu wengine ana kasoro zake,kwangu mimi kasoro kubwa ya Wema ni kutokuweza kuweka siri mambo yake binafsi.Otherwise ni mtamu sana.
 
  • Thanks
Reactions: Sal
Wadau nilikuwa nikiangalia kipindi cha mkasi cha salama j. kiukweli nimevutiwa sana na wema maana the girl is so confident and very open kuhusu life lake, nimeangalia hadi nikamfananisha na kim kardashian how sexy and confident she is. how can i get her jaman mwenye kujua namna ya kumpata plzzzz

muadd facebook, huwa ukimu-inbox anatoa namba bila wasiwasi! ila akikisha una ka-percent flani ka umaarufu au ukichaa ndo naye atavutiwa na wewe
 
Wadau nilikuwa nikiangalia kipindi cha mkasi cha salama j. kiukweli nimevutiwa sana na wema maana the girl is so confident and very open kuhusu life lake, nimeangalia hadi nikamfananisha na kim kardashian how sexy and confident she is. how can i get her jaman mwenye kujua namna ya kumpata plzzzz

Ondoa hayo maneno katik red.

She is not open, but opened, naweza nika agree na wewe ukisema sexy in your perspective views.

She is not confident but frustrated.
 
wema ni mzuri sana kisura....tabia sasaaaa ndio uozoooooooooooo
 
Makombo yako mengi tu hapa mjini kuzidi Wema na watu wanaokota na kujilia bila hiyana. kwa vile yeye ni kioo cha jamii anaonekana zaidi. Hana cha ajabu alichofanya kilichozidi mabinti wa kibongo, labda kosa lake ni kuwa muwazi. na kuwa kwake muwazi hataki unafiki kwenye mapenzi. na hili keshalizungumza sana. Viruka njia wenye msururu wa wanaume ndio hawataki hata wajulikane wako na nani maana kutwa wao ni kujificha.

Wema ni makombo ambayo hata ukiyamwagia mchuzi mbwa hali
 
du kazi kwelikweli almasi amechezea body lile mpaka kachoka nawe wataka wanaume tujifunze kuvumbua kingine hata kijijin tunza angalau wawe wengi

wewe wako hajachezewa? dunia ilivyo sasa kumpata ambaye hajaguswa sio rahisi, cha msingi ni mapenzi kati yenu.
Kwanza ukimpata aliyeshawahi kupitia mambo hayo ndo mzuri sababu hatakusumbua kumfundisha cha kufanya. Wewe huoni nafasi za kazi zinazotangazwa zinataka watu wenye experience??
 
wasichana wengi tunachanganyikiwa sana tukisifiwa! ukweli ni huu ila kwa sifa hizi ndizo zinazofanya mastaa wengikuchanganya wanaume ili wajustify uzuri wao!!!! TANZANIA BILA UKIMWI.............................!??????? lazima tulidhibiti hioli kwanza! vinginevyo ndoto!
 
Ni mzuri lakini hata binti zangu wa humu jf wanamzidi uzuri.
 
Back
Top Bottom