Baada ya hoteli ya Ngurdoto kugeuzwa hosteli kutokana na hali mbaya ya uchumi awamu ya tano, sasa imerudi kwa nguvu kubwa

Nimesoma kote sijaona mahali kuwa Magufuli ndio alikuwa sababu ya hiyo hotel kudidimia,si juzi tu mlituambia COVID ndio ilikuwa sababu Leo Tena mmebadilisha gia,
Ok Asante kwa umbea.
 
Kila kitu magufuli, mrema ya alikufa na vitu vyake... Rejea ya Impala hotel na naura springs....

Mbona hoteli zingine hazikufa? Mambo ya kulazimisha mikutano ya serikali ifanyike mahoteli makubwa ili mpige 10% magu hapo ndo alijua kuwanyoosha
( ) Alikuwa na ajenda ya siri moyoni mwake, atukuzwe mungu wa mbinguni, Amen.
 
Kila kitu magufuli, mrema ya alikufa na vitu vyake... Rejea ya Impala hotel na naura springs....

Mbona hoteli zingine hazikufa? Mambo ya kulazimisha mikutano ya serikali ifanyike mahoteli makubwa ili mpige 10% magu hapo ndo alijua kuwanyoosha
We unafikiri mzunguko wa pesa kwa wananchi unakujaje??? Yani serikali tu ifanye biashara na wafanyabiashara wapo?? Nchi za wenzetu wafanyabiashara hupewa Hadi ruzuku... Huku mnataka wabaniwe... Hao KUMBUKA wanasaidiwa Hadi kutoa ajira direct and indirectly... Kwa hili hayati alichemka sana

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya JPM kuharibu uchumi wa nchi?? We mwehu utakua unatembea mitaani na matambala tambala
 
Ukiona hivo ni mwekezaji kaja kuwekeza! Gurdoto ilikuwa na madeni acha kudanganya watu! Mbona hotel zingine? hazikufungwa? Umbea tu!
Zipi hazikufa kipindi Cha jpm? Pale manzeshe tu hotel kibao zilikufa kwa Sasa zinarudi kwa Kasi. Hata Ile ya ubungo plaza yaani blue pearl ilikufa Sasa inarudi kwa Kasi. Mungu au watu wangemuacha aendelee kuwepo kila kitu kingesimama na angepinduliwa na jeshi. Shida aliingia na visasi vingi akaanza kujifananisha na mungu.
 
Bendera fata upepo nyie. Si mlisema Kwa Jpm uchumi umekua na watalii kibao?
 
Sema Mungu. Mwanadamu hana uwezo huo.
 
Kila kitu lawama kwa marehemu, alafu mnajisahaulisha kwamba huyo mnae msifia sasa hivi alishirikiana na marehemu bega kwa bega kwenye Kila jambo, kama mkitaka kumlamu marehemu basi mjue na bibi yenu haponi kwenye hizo lawama
Na Makonda alikuwemo pia
 
Ni upumbavu kujisahaulisha kwa makusudi kwamba hujui ni kwa nini mahotel mengi yalifugwa

Mengi yalitumika saana kama conference ya kuhudumia mikutano yoote ya Kiserikali na ilikuwa ni mianya ya upigaji

JPM akatupilia mbali mikutano hiyo ya kiulaji

Kwa sasa kila kitu kimerudi, nani asiyejua ripot za CAG zinapelekwa bungeni kama gazeti la mwanasport?

Rushwa ndo usiseme, mikutano ya serikali kufanyika kwenye mahoter ili watu wapate 10%

Vijana wa ccm ni wajinga??
 
business plan ya Ngurdoto, ilikuwa ya kipigaji... Semina za serikali ndio mapato yao, ilipotoka , ona walikohamia hostel za wanafunzi... Magu hausiki... Wao ni wafanya biashara, unatakiwa kuwa na plan b"
 
Kwann wewe usiandamane mpaka chadema kwan na wewe si mtanzania tena mzalendo? Bandari muuze nyie wandamane chadema?
Akili zinakutosha au ushalewa vya kupima?? Leo ndo unajua faida ya maandamano
Ebo! Mbona una spini tena, kulikoni?

Wapii nimesema sikuandamana?

Hatahivyo inaeleweka sio wana CHADEMA waliotaka kuandamana, hawakuwa na dhamira na hawakutaka kuhusishwa na ndio waliowasusia 'Sauti ya Watanzania', kinyume kabisa na azimio lao la kutoa ushirikiano sasa unataka kuaminisha Umma kuwa CHADEMA ilikuwamo!

Ati "bandari muuze nyie" Unajizima data bure tu. Haya.

...na wewe akili zako umeshazipima? Hapana. kwani wewe ni kinoamiguu na sio kinoaakili

CHADEMA ndio inayojua faida za Maandamano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…