Baada ya hoteli ya Ngurdoto kugeuzwa hosteli kutokana na hali mbaya ya uchumi awamu ya tano, sasa imerudi kwa nguvu kubwa

business plan ya Ngurdoto, ilikuwa ya kipigaji... Semina za serikali ndio mapato yao, ilipotoka , ona walikohamia hostel za wanafunzi... Magu hausiki... Wao ni wafanya biashara, unatakiwa kuwa na plan b"
Hiyo hotel ya chato ingeendeshwaje?
 
Shime kwa Mh Rais💐💐💐
 
Hotel nyingi zilishindwa kuendelea na huduma wakati wa corona!!! Hata hii wakati corona ndo ika drop, sasa hapa magu anaingia vipi??
 
Kila kitu magufuli, mrema ya alikufa na vitu vyake... Rejea ya Impala hotel na naura springs....

Mbona hoteli zingine hazikufa? Mambo ya kulazimisha mikutano ya serikali ifanyike mahoteli makubwa ili mpige 10% magu hapo ndo alijua kuwanyoosha
Unataka mikutano ifanyike viwanjani?
 
Jiwe alikuwa kiongozi wa hovyo kuwahi kutokea nchi hii kimsingi hakufaa hata mtendaji wa kijiji
 
Bora kupromote utalii chato kwa kuhamisha wanyama kutoka Serengeti Tanzania kwenda Burigi Chato Tanzania kuliko kupromote utalii Uarabuni kwa kuchukua wanyama Loliondo Tanzania kwenda UAE-Uarabuni. Ifike wakati mtofautishe kati ya UHUNI na UZALENDO.
Wanyama walikufa wote burigi kasoro tausi aliowaiba ikulu..
Burigi ni pori msitu mnene ambao sio makasi ya wanyama kiasilia
Jiwe alikuwa kichaa
 
Jiwe alikuwa kiongozi wa hovyo kuwahi kutokea nchi hii kimsingi hakufaa hata mtendaji wa kijiji
Kweli kabisa, jiwe alikuwa jitu la hovyo, hovyo sana, hovyo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…