kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Sasa unapinga kipi mkataba urekebishwe au asipewe mwarabu hebu tujuze tindo mjuvi!Uchukue hela ya mwarabu kisha ubadilishe hata nukta?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa unapinga kipi mkataba urekebishwe au asipewe mwarabu hebu tujuze tindo mjuvi!Uchukue hela ya mwarabu kisha ubadilishe hata nukta?!
Uadilifu tu ila taratibu zipo sawa kabisa ila uadilifu wetu ndiyo huu tunachukuliwa wanaenda kutupa semina sijui wanatulipia hotel then wanakupa malaptop unarudi hapa meno 34 yote nje then kesho unaletewa mkataba unasain tu wala husomi sababu jana alikufanyia ukarimu!Hatuoni hizi taratibu na urasimu wake kama zinachelewesha uchumi wetu kwa ujumla, hatuwezi kuona hilo suala kwa sababu wengi wetu sio wadau wa moja kwa moja wa biashara za bandari.
Mkataba wenye utata urekebishwe, sina tatizo na uwekezaji kutoka popote.Sasa unapinga kipi mkataba urekebishwe au asipewe mwarabu hebu tujuze tindo mjuvi!
Watanzania ni wazito sana kuelewa, kunapotolewa tuhuma, ukiona watuhumiwa wamenyamaza kimya, ujue ni admission of guilty!, tangu TEC wametoa waraka, umemsikia kiongozi yeyote wa serikali yetu akijibu kitu?. Maana yake mapungufu na madhaifu yote ya IGA ni ya kweli, lakini kwa vile IGA sio mkataba ni barua tuu ya posa, Mwenye dada hakosi shemeji, IGA ni posa tu. Je, tuendelee kupiga kelele kuzozania posa, au tutulie tupange Mahari ya maana kwenye HGA? HGA ndio mahari, tutapanga mahari nzuri ya binti yetu.Kuna mtu umeongea nae leo amekuhakikishia hilo?. Hivyo umeona uwahi kuleta. Huu mkata utatupwa, utaipasua CCM
OwaMayalla siku hizi anatukosea heshima sana humu ndani, anadhani anacheza na watoto wadogo wa nursery.
Kwa hiyo wewe shida yako ni posa! Mtauza watoto aisee.Watanzania ni wazito sana kuelewa, kunapotolewa tuhuma, ukiona watuhumiwa wamenyamaza kimya, ujue ni admission of guilty!, tangu TEC wametoa waraka, umemsikia kiongozi yeyote wa serikali yetu akijibu kitu?. Maana yake mapungufu na madhaifu yote ya IGA ni ya kweli, lakini kwa vile IGA sio mkataba ni barua tuu ya posa, Mwenye dada hakosi shemeji, IGA ni posa tu. Je, tuendelee kupiga kelele kuzozania posa, au tutulie tupange Mahari ya maana kwenye HGA? HGA ndio mahari, tutapanga mahari nzuri ya binti yetu.
P
Mwarabu anakuja kuwekeza huku likiwa ni suala la kimkakati sio la kukurupuka hata kidogo. Alijipanga miaka na miaka kwenye masuala ya biashara za usafiri wa kwenye maji.Uadilifu tu ila taratibu zipo sawa kabisa ila uadilifu wetu ndiyo huu tunachukuliwa wanaenda kutupa semina sijui wanatulipia hotel then wanakupa malaptop unarudi hapa meno 34 yote nje then kesho unaletewa mkataba unasain tu wala husomi sababu jana alikufanyia ukarimu!
Unaombaje maximum transparency kwenye HGA wakati governing IGA ina kipengele cha usiri na hata ulivyoiona IGA ni kwa njia za panya tu imevujishwa?Wanabodi,
Kama kawaida yangu ya kuwaletea trends mbalimbali, leo naomba niwaletee hii trends za kinachoendelea kwenye hii issue.
Baada ya IGA ya DPW na Bandari Zetu, HGA yake iko njiani inakuja!
Naomba kukiri nimekuwa inspired kupandisha bandiko hili kwa bandiko la mwana JF huyu. Wananchi tupige kura kulimaliza hili sakata la Dp world
Mkuu utukufu mwanjisi , baada ya IGA ya DPW na Bandari zetu kusainiwa na Mhimili wa serikali yetu Tukufu, licha ya kuwa na mapungufu lukuki ya kisheria, ikiwemo illegality on the capacity of Dubai to contract an international Treaty, ikapelekwa Bungeni na kuridhiwa na Mhimili wa Bunge letu Tukufu, hivyo hivyo ilivyo without any reservations, na Mhimiliwa Mahakama ukatoa baraka zake za the Separation of Powers, bila Checks and Balance, ya kutoliingilia Bunge, kinachoendelea sasa ni maandalizi tuu ya HGA.
Kwa kawaida HGA zinakuwaga ni confidential, lakini kufuatia sintofahamu nyingi za hii IGA, tuiombe serikali yetu Tukufu, kufanya a maximum transparency kwenye hii HGA ya DPW na Bandari zetu, isiwe confidential as it used to be, iwe open ili wale wote waliopinga IGA kwa hoja za kisheria, waridhishwe kuwa hoja hizo zimezingatiwa kwenye HGA.
The chronology of events ni
1. Kikao kijacho cha Bunge, kitaibadili ile sheria ya Magufuli ya ulinzi wa Rasilimali za Taifa, ili to accommodate HGA ya DPW na Bandari.
Hizi HGA usually takes time, mfano mpaka sasa HGA ya mradi wa gesi wa LNG bado haijasainiwa, ila mnaweza kushangaa HGA ya DPW na Bandari zetu ikatoka fasta.
Wale wote mlioipinga hii IGA kwa hoja za kisheria, Waziri Mkuu wetu, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, alituahidi hoja zenu zote zenye mashiko, zitakuwa zimezingatiwa na kuwa accommodated kwenye HGA.
The issue ni moja tu, jee HGA ya DPW na Bandari zetu itakuwa open kama hii IGA?.
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali
Hii utaijua kwenye HGA, ila mikataba ya kihivi ni long lease ya kuanzia 10 years ili ku guarantee the return of investment.Tunataka tujue wanachukua Bandari kwa muda gani na serikali yetu itapata kiasi gani.
Wataajiri Watanzania wengi, ila pia watakuja wageni wengi kwasababu ya modernity na state of art highly sophisticated robotic technology ambayo sisi Watanzania hatuna. Wafaidika wakuu wa kwanza wa ajira mpya ni madereva wa semi trelas, wanaleta malori ya container 2,000 kubebea containers zao kutoka Dar port hadi dry port yao ya Kigali.Pia tunataka tujue wataajiri Watanzania wangapi?
Mark my words ndo utajua ukuu wa kanisa.Muda utaongeaKama nawaona watu walivyonuna huko vigangoni,mwarabu huyu hapa na remba lake,na kobazi zake Kama yesu
As long as the cat is out of the basket, there is nothing to hide!, public interest supersedes confidentiality clause.Unaombaje maximum transparency kwenye HGA wakati governing IGA ina kipengele cha usiri na hata ulivyoiona IGA ni kwa njia za panya tu imevujishwa?
Kanisa litabakia likishangaa, kwani mwekezaji atakuja na kupokelewa na biashara zitaanza kama kawaida.mark my words ndo utajua ukuu wa kanisa.Muda utaongea
But is the cat really out of the basket? Serikali hata haijatoa IGA na ikiamua inaweza kuwakamata wote mnaoijadili kwa kuwaambia mnajadili nyara za siri za serikali bila kibali wala uhalali.As long as the cat is out of the basket, there is nothing to hide!, public interest supersedes confidentiality clause.
P
DP waliwekeza Djibouti mbona haina hayo maendeleo kama Dubai?HUB ni kituo kikubwa cha biashara cha ngazi ya dunia nzima. Dubai alipounda shirika la ndege akahakikisha asilimia tisini ya ndege zake zinapita pale kwenye jiji lake kwa maana ya safari ya transit. Utatoka nchi za mashariki ya mbali utatua pale Dubai na kisha utaendelea na safari kuja Dar. Utatoka London na kukatiza Dubai kisha utaendelea mpaka afrika ya kusini.
Alijua kule kuonwa mara nyingi kwa jiji lake ni hatua ya kwanza ya kulitangaza kimataifa. Maofisi makubwa yamejengwa pale, biashara za kila aina zimefunguliwa pale yakiwa ni matawi ya zile zilizopo katika miji mikubwa kama Paris, New York, Vancouver na mengine maarufu, hiyo ni maana ya HUB.
Hivi sasa Dubai ameingilia kwenye biashara ya madawa ya binadamu, anageuka kuwa Medicine Hub ya dunia nzima anampita umaarufu India kwenye sekta hiyo.
Samia ana mitazamo ya kisasa sana, anapokea ushauri kutoka kwa wataalam wajanja na wenye maono mapana na anao utayari wa kuyafanyia kazi. Dar inajengewa uwezo wa kuja kuwa HUB kubwa afrika na ikiwezekana duniani.
Hawa wawekezaji wawili wanaokwenda kuendesha bandari ni hatua za mwanzo tu za kujenga umaarufu kama ule wa Dubai, kwamba wepesi wa kutoa mizigo pale bandari unakwenda kuipa heshima mpya Tanzania na inaweza kuanza kuchangamkiwa na wafanyabiashara mbalimbali kutoka mataifa makubwa.
Maendeleo ni mbinu za kisasa, sio kuwa na akili mgando zenye ujamaa mwingi na zinazojaa hulka za kichoyo tu. Kusema sisi wenyewe tuendeshe ni kukosa maono mapana ya kidunia, unahitaji kuwa na chombo cha kibiashara cha bandari chenye kurahisisha biashara za ukanda huu, na watu wetu watajikuta wanaboresha maisha yao katika siku zijazo.
Mawazo ya kijinga kama haya ndo nyinyi mnapotosha bi tozo mpaka mnataka kuipasua nchi!HUB ni kituo kikubwa cha biashara cha ngazi ya dunia nzima. Dubai alipounda shirika la ndege akahakikisha asilimia tisini ya ndege zake zinapita pale kwenye jiji lake kwa maana ya safari ya transit. Utatoka nchi za mashariki ya mbali utatua pale Dubai na kisha utaendelea na safari kuja Dar. Utatoka London na kukatiza Dubai kisha utaendelea mpaka afrika ya kusini.
Alijua kule kuonwa mara nyingi kwa jiji lake ni hatua ya kwanza ya kulitangaza kimataifa. Maofisi makubwa yamejengwa pale, biashara za kila aina zimefunguliwa pale yakiwa ni matawi ya zile zilizopo katika miji mikubwa kama Paris, New York, Vancouver na mengine maarufu, hiyo ni maana ya HUB.
Hivi sasa Dubai ameingilia kwenye biashara ya madawa ya binadamu, anageuka kuwa Medicine Hub ya dunia nzima anampita umaarufu India kwenye sekta hiyo.
Samia ana mitazamo ya kisasa sana, anapokea ushauri kutoka kwa wataalam wajanja na wenye maono mapana na anao utayari wa kuyafanyia kazi. Dar inajengewa uwezo wa kuja kuwa HUB kubwa afrika na ikiwezekana duniani.
Hawa wawekezaji wawili wanaokwenda kuendesha bandari ni hatua za mwanzo tu za kujenga umaarufu kama ule wa Dubai, kwamba wepesi wa kutoa mizigo pale bandari unakwenda kuipa heshima mpya Tanzania na inaweza kuanza kuchangamkiwa na wafanyabiashara mbalimbali kutoka mataifa makubwa.
Maendeleo ni mbinu za kisasa, sio kuwa na akili mgando zenye ujamaa mwingi na zinazojaa hulka za kichoyo tu. Kusema sisi wenyewe tuendeshe ni kukosa maono mapana ya kidunia, unahitaji kuwa na chombo cha kibiashara cha bandari chenye kurahisisha biashara za ukanda huu, na watu wetu watajikuta wanaboresha maisha yao katika siku zijazo.
Yaani mnajisifu kuwa mnaenda kujenga nyumba nje ya Msingi?Wanabodi,
Kama kawaida yangu ya kuwaletea trends mbalimbali, leo naomba niwaletee hii trends za kinachoendelea kwenye hii issue.
Baada ya IGA ya DPW na Bandari Zetu, HGA yake iko njiani inakuja!
Naomba kukiri nimekuwa inspired kupandisha bandiko hili kwa bandiko la mwana JF huyu. Wananchi tupige kura kulimaliza hili sakata la Dp world
Mkuu utukufu mwanjisi , baada ya IGA ya DPW na Bandari zetu kusainiwa na Mhimili wa serikali yetu Tukufu, licha ya kuwa na mapungufu lukuki ya kisheria, ikiwemo illegality on the capacity of Dubai to contract an international Treaty, ikapelekwa Bungeni na kuridhiwa na Mhimili wa Bunge letu Tukufu, hivyo hivyo ilivyo without any reservations, na Mhimiliwa Mahakama ukatoa baraka zake za the Separation of Powers, bila Checks and Balance, ya kutoliingilia Bunge, kinachoendelea sasa ni maandalizi tuu ya HGA.
Kwa kawaida HGA zinakuwaga ni confidential, lakini kufuatia sintofahamu nyingi za hii IGA, tuiombe serikali yetu Tukufu, kufanya a maximum transparency kwenye hii HGA ya DPW na Bandari zetu, isiwe confidential as it used to be, iwe open ili wale wote waliopinga IGA kwa hoja za kisheria, waridhishwe kuwa hoja hizo zimezingatiwa kwenye HGA.
The chronology of events ni
1. Kikao kijacho cha Bunge, kitaibadili ile sheria ya Magufuli ya ulinzi wa Rasilimali za Taifa, ili to accommodate HGA ya DPW na Bandari.
Hizi HGA usually takes time, mfano mpaka sasa HGA ya mradi wa gesi wa LNG bado haijasainiwa, ila mnaweza kushangaa HGA ya DPW na Bandari zetu ikatoka fasta.
Wale wote mlioipinga hii IGA kwa hoja za kisheria, Waziri Mkuu wetu, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, alituahidi hoja zenu zote zenye mashiko, zitakuwa zimezingatiwa na kuwa accommodated kwenye HGA.
The issue ni moja tu, jee HGA ya DPW na Bandari zetu itakuwa open kama hii IGA?.
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali
No hatijisifu, bali nyumba ikijengwa kwenye msingi mbovu, ili isivunjike, inawekewa reinforcements.Yaani mnajisifu kuwa mnaenda kujenga nyumba nje ya Msingi?
Sio lazima kumshirikisha kila mtu kwenye kila kitu, kuna mikataba inayohitaji ushirikishwaji umma, na kuna mikataba ni internal affairs, sheria yetu ya rasilimali za taifa iko very clear, hakuna usiri kwenye rasilimali za taifa!.Kuwepo na transparency kwenye mkataba ambao hukushirikishwa wakati wa utiaji saini?
Wote wanaopinga IGA ya DPW na Bandari zetu kwa hoja za udini ni muflis!, ni watu waliofilisika!.Sasa hivi utetezi uko wazi kuwa hilo suala linapingwa kwakuwa ni la muisilamu.
Sii kweli, kwasababu since day one, wafanyakazi wameelezwa no one will lose his/her job!, sasa wasiwasi wa nini?.Uncle bandari kumepoa wafanyakazi hawaelewi, lakini ukweli ndio huo
Kwani ni uongo?. Hii IGA ya DPW na Bandari zetu, imetusaidia kwa mengiMama hana nia ya kujinasua kwakua alipojiingiza akisimama mchale akikaa mchale ila atatupuuza Watanzania kwakua anajua sisi ni debe tupu tuu hatuna madhara wala hatujielewi....
Duh...!.HGA itaendelea kua siri kama ilivyo siku zote na pia hakutakua na mkataba uki vuja tena kwa serikali hii ya awamu ya 6
Wamewekeza pia Amsterdam, London, Southampton na bandari nyingine nyingi za mataifa yenye watu wanaojielewa.DP waliwekeza Djibouti mbona haina hayo maendeleo kama Dubai?