Baada ya IGA ya DPW na Bandari zetu, licha ya mapungufu, HGA yake inakuja. Ombi kwa Serikali yetu sikivu, tunaomba Maximum Transparency kwenye HGA

Baada ya IGA ya DPW na Bandari zetu, licha ya mapungufu, HGA yake inakuja. Ombi kwa Serikali yetu sikivu, tunaomba Maximum Transparency kwenye HGA

Kwamba hakuwa na pesa za kobazi au!?..stuli zote zile alizochonga!?
hakuvaa viatu kwasababu ya umasikini, ila alikuwa na upako hakuumia miguu kutembea peku!. Hadi leo kuna monks wa Tibet wanatembea peku na wanasafiri umbali mrefu na kupanda milima kwa upako fulani!.
P
 
Wananchi wameambiwa Bandari yao imeuzwa na kuna mwingine jana jioni huku Temeke alikuwa anauliza kuwa amesikia kuwa "Dipiwedi ni ya Lizuwani"

Kiukweli kabisa Wananchi wamekorogwa sana
Hakuna hata milimita moja ya JMT imeuzwa!. DPW sio ya Lizuwani!.
P
 
Watanzania tujifunze kitu kinachoitwa managing diversity, kuna watu wengi tuu wameikubali DPW na Bandari zetu, ila tatizo ni IGA na sio DPW!, msianze kujimilikisha watu kujiita hatuutaki mkataba wa DPW, jifunze kuwavumilia wanaoutaka mkataba wa DPW na Bandari zetu!.
P
Mayalla aka njaa hata ukilamba viatu vya watawala hupati teuzi mpaka kiama na utaishia hiyo hiyo kura 1 kama Kawe.
 
hakuvaa viatu kwasababu ya umasikini, ila alikuwa na upako hakuumia miguu kutembea peku!. Hadi leo kuna monks wa Tibet wanatembea peku na wanasafiri umbali mrefu na kupanda milima kwa upako fulani!.
P
Mimi na mwana malundi basi tuna upako,maana nimecheza mpira peku na sikuumia na nimetembea Sana peku
 
Mkuu mbussi , naunga mkono objectivity yako, usemayo ni kweli kabisa ile the doctrine of separation of powers, checks and balance haipo kabisa kwenye nchi yetu!. Hili niliwahi kulizungumza humu kuhusu Bunge kujipendekeza kwa serikali, Mahakama nayo kuligwaya Bunge na kujipendekeza kwa serikali Nani Zaidi Kati ya Bunge na Mahakama?!. The Doctrine of "Separation of Powers" Nothing, Just a Myth!

Naunga mkono hoja, Bunge halitimizi wajibu wake kikamilifu, Mahakama haitimizi wajibu wake kikamilifu na serikali haiwajibiki kikamilifu kwasababu there is no one to check it out!.

Lazima utaelewa tuu with time!

Ni kweli kabisa, dawa pekee ya kulitibu hili Bunge la namna hii ni kulizomea from time to time kama hivi

Maadam IGA ni barua tuu ya posa, anayechumbia hawezi kutupangia, sisi wenye binti Bandari ndio tunapanga mahari na kupanga masharti na sio kupangiwa!, hivyo bado HGA inaweza kuwa nzuri!

No sio hii IGA moja tuu imeingia Bungeni hata IGA ya mradi wa LNG imepita Bungeni na kuridhiwa, HGA ya LNG bado!, unaweza kushangaa HGA ya DPW na Bandari zetu ikatoka kabla ya HGA ya LNG haijatoka!.

Serikali, Bunge na Mahakama vinatufanya kama Watanzania ni ndondocha!, kwasababu wanaamini no one can do anything!, but... naomba nisimalizie...!
P
Mkuu Mayalla sasa umenena na kuyaweka mambo ktk mtizamo sahihi. Lakini nitoe maoni yangu kwenye jambo moja au mawili.

Moja ni hoja uliyosema "IGA" ni kama kishika uchumba. Big no!! IGA ni mkataba mama ambao HGA zote zinapaswa kuingiwa kwa kufuata masharti yaliyosainiwa ndani ya IGA. Unaweza kuifananisha na katiba ambapo sheria zote utungwa bila ya kuithili katiba. Hivyo husitegemee geni. Hizo porojo za wanasiasa na serikali hii wanavyojigamba na kudanganya watu kuwa watafanya wanachokiita amendments kwenye HGA ni lugha ya kupuuza kwasababu ni propaganda zisizo na mashiko. Je, hatukuwa na wanasheria kipindi wanasaini hii IGA ya hovyo kiasi kile? Ilikuwa ni kwa faida ya nani? Tangu sakata hili lianze hakuna mtu ama kutoka serikalini au ndani ya chama au awae yoyote anaunga mkono hii IGA ambae alishakuja na majibu ya hoja zinazohojiwa ndani ya mkataba. Sanasana ni projo na propaganda za kutaka kuwagawa watu kwenye makundi na kufarakanisha.

Utakubaliana na Mimi, hata kikao Cha bunge kilichopitisha hii kitu, hoja ya Mbowe na Uzanzibar ilitawala na hakuna aliyejadili kwa hoja juu uzuri wa huu mkataba, achilia mbali kelele za kina Musukuma na Lusinde. Mahakama yenyewe Mbeya ilikiri mkataba una kasoro katika vipengere vingi. Na kama siyo maelekezo au kuogopa ile hukumu isingetoka kama ilivyotoka. Kama uliisoma ilikuwa imejaa konakona nyingi.

Hebu niambie mkuu, tunachong'ang'ania ni nini? Kupitia huo mkataba inaonyesha wazi kuwa hawa Waarabu wa Dubai hawana nia njema na nchi yetu, bado tunadai turekebishe alafu tusonge mbele. Je, nia yao hovu itakuwa imemalizika? Endapo kuna ulazima wa Mwarabu kuwa mwekezaji, Dubai siyo nchi pekee ya Kiarabu. Tunaweza kuingia mkataba na Saud Arabia kabisa ambako kuna Macca na Medina. Huu mkataba ni wa kupiga chini na maisha mengine yaendelee.
 
But is the cat really out of the basket? Serikali hata haijatoa IGA na ikiamua inaweza kuwakamata wote mnaoijadili kwa kuwaambia mnajadili nyara za siri za serikali bila kibali wala uhalali.
Kwenye HGA, siri ni the contents, lakini signing ceremony is public. Siri za serikali sio nyara, kukutwa na document ya serikali yenye stamp Nyukundu ya confidential, secret or top secret, kama wewe sio mhusika, ni kosa kisheria na unakula mvua 3, fasta!. Kuna mwandishi wa ITV/ Adam Mwaibabile, 'Mwana' alikutwa na hiyo document, alipigwa mvua fasta!.
P
 
Mkuu Mayalla sasa umenena na kuyaweka mambo ktk mtizamo sahihi. Lakini nitoe maoni yangu kwenye jambo moja au mawili.

Moja ni hoja uliyosema "IGA" ni kama kishika uchumba. Big no!! IGA ni mkataba mama ambao HGA zote zinapaswa kuingiwa kwa kufuata masharti yaliyosainiwa ndani ya IGA. Unaweza kuifananisha na katiba ambapo sheria zote utungwa bila ya kuithili katiba. Hivyo husitegemee geni. Hizo porojo za wanasiasa na serikali hii wanavyojigamba na kudanganya watu kuwa watafanya wanachokiita amendments kwenye HGA ni lugha ya kupuuza kwasababu ni propaganda zisizo na mashiko.
Cha kwanza, let's be positive na kutumia powers of positivism badala ya negativity, serikali ilihaidi itazingatia ushauri kwenye HGA, hivyo let's be positive it will, ndio maana ninapendekeza HGA ziwe open tuone hayo mazingatio.
Je, hatukuwa na wanasheria kipindi wanasaini hii IGA ya hovyo kiasi kile? Ilikuwa ni kwa faida ya nani?
Hili nimelisema humu "IGA ya DPW imetusaidia sana kujitambua. Tuna wanasheria wa Aina Gani!, Bunge na Serikali yetu, Ilipitishaje IGA Hii? na hapa IGA ya DPW imetusaidia mambo mengi. Kwanza kuonyeshea tuna wanasheria wa aina gani, pili kuidogosha fani ya sheria na sasa kila mtu ni Mwanasheria?
Tangu sakata hili lianze hakuna mtu ama kutoka serikalini au ndani ya chama au awae yoyote anaunga mkono hii IGA ambae alishakuja na majibu ya hoja zinazohojiwa ndani ya mkataba. Sanasana ni projo na propaganda za kutaka kuwagawa watu kwenye makundi na kufarakanisha.
Ni kweli na hili nimeshauri Wito: Hoja za Kisheria za TLS, Prof. Shivji na wengine wote kupinga IGA, zisijibiwe Kisiasa kwa maneno matupu!, zijibiwe Kisheria kwa Vifungu!
Utakubaliana na Mimi, hata kikao Cha bunge kilichopitisha hii kitu, hoja ya Mbowe na Uzanzibar ilitawala na hakuna aliyejadili kwa hoja juu uzuri wa huu mkataba, achilia mbali kelele za kina Musukuma na Lusinde. Mahakama yenyewe Mbeya ilikiri mkataba una kasoro katika vipengere vingi. Na kama siyo maelekezo au kuogopa ile hukumu isingetoka kama ilivyotoka. Kama uliisoma ilikuwa imejaa konakona nyingi.
It's very true hii IGA ina makando kando mengi Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee!
Hebu niambie mkuu, tunachong'ang'ania ni nini? Kupitia huo mkataba inaonyesha wazi kuwa hawa Waarabu wa Dubai hawana nia njema na nchi yetu, bado tunadai turekebishe alafu tusonge mbele.
No hawana nia mbaya, DPW ndie the one and only the best strategic partners kwa Bandari yetu, alichofanya DPW ni kwanza alitu circumnavigate, kutuzungunga kwa kujenga dry port Kigali yenye container storage three times Dar Port!, hivyo asipopata Bandari ya Dar, akienda Mombasa, Dar port is dead!.
Je, nia yao hovu itakuwa imemalizika? Endapo kuna ulazima wa Mwarabu kuwa mwekezaji, Dubai siyo nchi pekee ya Kiarabu. Tunaweza kuingia mkataba na Saud Arabia kabisa ambako kuna Macca na Medina. Huu mkataba ni wa kupiga chini na maisha mengine yaendelee.
No DPW ndio the most strategic, has the ability and the capacity tatizo ni ile IGA tuu!.

P
 
Back
Top Bottom